Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

Una laptop yenye CPU ya i7 12700h au amd Ryzen 7 6800h na ram ya 16gb, kama IPO bei ikoje
 
Nataka laptop kwa matumizi ya ofisi na kuchora ramani kwa program kama QGIS. Napenda iwe nyembamba, betri iandumu muda mrefu na speed ya radi. bajeti yangu milioni tatu
 
#Dell lattitude 7400
#Lenovo thinkpad yoga L13 gen 2
#HP Spectre generation 8-13
#Dell XPS 9310

Naomba bei.
 
Laptop kwa ajili ya programming na graphics
 
Kwani ni ngumu Sana kutaja bei hapa?

Biashara yoyote lazima kuwe na makubaliano na makubaliano ni mazungumzo kati ya mteja na muuzaji pia kuna bidhaa tofauti tofauti zenye vigezo sawa na bei imetofautiana hivo kwa maswali na bei piga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…