Laptop bei nafuu
Member
- Feb 7, 2012
- 81
- 105
- Thread starter
-
- #61
#Dell lattitude 7400
#Lenovo thinkpad yoga L13 gen 2
#HP Spectre generation 8-13
#Dell XPS 9310
Naomba bei.
Nataka laptop kwa matumizi ya ofisi na kuchora ramani kwa program kama QGIS. Napenda iwe nyembamba, betri iandumu muda mrefu na speed ya radi. bajeti yangu milioni tatu
Nahitaji desktop computer kwa ajili ya watoto.
Ipo mkuu dell ni touchscreen ni portable unawezaitumia kama tablet nipigie simu 0687391033 au WhatsApp 0652565597Nahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye bag..
Nahitaji laptop kwaajili ya kumbukumbu za
Ipo mkuu dell ni touchscreen ni portable unawezaitumia kama tablet nipigie simu 0687391033 au WhatsApp 0652565597
Nahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye
ipo mkuu nipigie simu 0687391033 au nichek WhatsApp 0652565597 au karibu dukan kariakoo mtaa wa aggrey na likoma karibu na mkombozi bankNahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye bag..
Je hii inadouble betry kama Lenovo Thinkpad X260???Kuna lenovo core i7 full speed processor 2.6ghz ram 12 Hdd 500gb bei Tsh 650,000
Uliza tu mkuu nitakujibuKuhusu desktop je?
Hapana laptop nyingi za kisasa hazina double bettry ila zina processor zenye uwezo wa kupJe hii inadouble betry kama Lenovo Thinkpad X260???
Laki 3 na kuendelea hap kuna lenovo na pia dellBei rahisi bei gani
Nataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.Uliza tu mkuu nitakujibu
Laptop yenye sifa hizi.
-Slim
-Portable
-Apple
-Betri charge isiyopungua masaa 4.
-Bei ya kawaida
-Rangi ya silver
-Ram
Zipo portable CPU na bei yake iko chin nichek WhatsApp 0652565597Nataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.
Kutumia tv kama screen hiyo haina shida ila tv ina mwanga mkali kuliko hizi monitor za computer so unapotumia jaribu kuset mwanga ili kupunguza ukali wa mwangaNataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.
Duh umenifungua. Suna sababu ya msingi kutumia screen ya TV. Ila nilionganisha cku laptop na HDMI kwenye TV nilipenda muonekano. Kama inaweza kua na madhara kwenye macho sidhani kama idea nzuriKutumia tv kama screen hiyo haina shida ila tv ina mwanga mkali kuliko hizi monitor za computer so unapotumia jaribu kuset mwanga ili kupunguza ukali wa mwanga
Naomba bei mkuuTafuta laptop yenye screen inch 14 au 15 ram iwe 8gb core i5 au i7 hdd 500 graphics dedicated iwe pia unaweza kupata dukan kwetu piga simu 0687391033
Bajeti yake inahitaji kama kiasi gani?Core i5 au i7 ila hasa unatakiwa ram iwe kuanzia 8 , 12 au 16 ssd 512 iwe na graphics card dedicated 2gb Nvidia au radeon