Swali langu kwako, Akili ni nini?
[emoji16][emoji16][emoji16] Akili ni AkiliSwali langu kwako, Akili ni nini?
Maisha ni Hatua na Siraha ni Instrumental ToboaFasihi ni chungwa na mwandishi ni kisu,menya.
Ufanye test na majibu unayo ?? Kweli bado ni zero IQ. Bado haijapandaNiulize swali lolote nitakujibu nataka nijipime IQ test yangu kama imepanda kidogo kupitia majibu nitakayotoa.
NB: Yasiwe ya hesabu, maswali yawe ya kufikiria zaidi either personal Question au kuhusu jamii.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app