Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Ukubwa upi unaotaka kusemea wa Umbo au uwezo?

Kama umbo sina hakika ila ni kama ukubwa wa uwezo hakika Mungu ni mweza wa Yote hawezi pitwa na kile alichokitengeneza(Create )
Creator yeyote lazima aweze kudestroy, sasa hawezi shindwa na kitu ambacho anaweza kukidestroy

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeona duniani kila kiumbe kina uwezo wake. Je mungu ana uwezo wa kutengeneza kiumbe chenye uwezo zaidi yake?
 
Tumeona duniani kila kiumbe kina uwezo wake. Je mungu ana uwezo wa kutengeneza kiumbe chenye uwezo zaidi yake?
yeye ni Alfa na Omega,anajua kila kitu, atatengeneza kitu gani kumzidi kwa sababu yeye tu hakuna anachoshindwa huyo unaemtaka amtengeneze atamzidi kwa lipi na atatengeneza kipi kumzidi yeye ajuaye kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom