Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.
 
KAMA MTAALAM WA VIFO TUAMBIE UTAKUFALINI...?
NA UTAKUFAJE..?
Natumaini utajibu kitaalam zaidi
asante.... !!!
 
Hebu niambie wewe ulipokufa, kulikuwa na nini huko kifoni.
 
Ningependa kufahamu kama katiba ya huko tunakoenda baada ya kifo kutokea kama inavitambua vyeti vya vifo duniani kama ni vya kuzaliwa huko na kama wana vitambulisho vya utaifa.
 
Duh haya mambo ya kuulizana haya!!!! Hebu MANI njoo unisaidie
 
Last edited by a moderator:
Naomba uniambie wajumbe wa BMK walioko Dodoma wanakufa lini? Na kama inawezekana vifo vyao viharakishwe. Asante
 
Wataalamu wanashauri matumizi ya bange ilokauka na sio mbichi km alotumia mtoa mada
 
Kama uliwahi kufa nitakuuliza?

Hujaeleza utalaam wako umejengwa spiritually au kisayansi?
 
Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.

Umeanzisha mada then umekimbia. Kama si utoto ni nini?
:focus:
Naomba unipe hatua za kifo na nini kinachoendelea baada ya kifo kwa huyo aliekufa.
 
Uko wapi sasa uje ujibu mbona umeingia mitini? tayari kuna maswali yakutosha kujibu mkuu
 
Ndo umeshakufa au vipi? Mbona hujibu sasa maswali yamejaa uku!
 
Back
Top Bottom