Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

Hivi ni kweli kwamba ukifa ukiwa usingizini hujui hadi asubuhi yake?
 
Watu wengine bana unajua kifo umekuwa MUNGU!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ningependa kufahamu kama katiba ya huko tunakoenda baada ya kifo kutokea kama inavitambua vyeti vya vifo duniani kama ni vya kuzaliwa huko na kama wana vitambulisho vya utaifa.

Hahahah ...you made my day.
 
Kwenye site mirror yangu naona mtoa mada tayari amesha ingia kwenye hatari ya kifo, napenda kumshauri amrudie mungu, na kama anavuta bange au kutumia pombe aache kabla ya mwaka huu kwisha..
 
Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.

Mtaalam heti kuna maiti huwa zinagoma kuzikwa? Kwanini? Eleza kitaalam has a kwa ushahidi unao weza kuonekana
 
...... Kesha kufa, bado mnahangaika naye

RIP
 
viongozi wa UKAWA watakufa lini tupumue jibu sasa?
 
Inasemekana tanzania ni nchi kati ya 5 duniani ambapo takirbni 99.9% ya raia wake wote wamekufa ingawaje mm & wngne bdo 2najiona hai,JE HI NI AINA GANI YA KIFO
 
haya! umeishawahi kufa mara ngapi? na ulipokufa ulikutana na saddam hussein?
 
Kazi ipo kuna mwenzako anaweza kuongea na maiti kutaneni mfungue ofisi mtutapeli vizuri
 
Mtu akifa dusheshe au mbunye zinakuwaje?zinakauka?zinaliwa na wadudu?au
 
Back
Top Bottom