MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,102 Aug 20, 2014 #1 Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.
Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.
B BOGABICHI Member Joined Jan 16, 2014 Posts 89 Reaction score 19 Aug 20, 2014 #2 KAMA MTAALAM WA VIFO TUAMBIE UTAKUFALINI...? NA UTAKUFAJE..? Natumaini utajibu kitaalam zaidi asante.... !!!
KAMA MTAALAM WA VIFO TUAMBIE UTAKUFALINI...? NA UTAKUFAJE..? Natumaini utajibu kitaalam zaidi asante.... !!!
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,054 Reaction score 5,511 Aug 20, 2014 #3 Hebu niambie wewe ulipokufa, kulikuwa na nini huko kifoni.
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Aug 20, 2014 #4 Ningependa kufahamu kama katiba ya huko tunakoenda baada ya kifo kutokea kama inavitambua vyeti vya vifo duniani kama ni vya kuzaliwa huko na kama wana vitambulisho vya utaifa.
Ningependa kufahamu kama katiba ya huko tunakoenda baada ya kifo kutokea kama inavitambua vyeti vya vifo duniani kama ni vya kuzaliwa huko na kama wana vitambulisho vya utaifa.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 20, 2014 #5 Duh haya mambo ya kuulizana haya!!!! Hebu MANI njoo unisaidie Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,391 Aug 20, 2014 #6 Elli said: Duh haya mambo ya kuulizana haya!!!! Hebu MANI njoo unisaidie Click to expand... Mpwa jukwaa limevamiwa! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Elli said: Duh haya mambo ya kuulizana haya!!!! Hebu MANI njoo unisaidie Click to expand... Mpwa jukwaa limevamiwa!
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Aug 20, 2014 #7 Mtaalam, ni nini dalili za mtu kufa?
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,494 Aug 20, 2014 #8 Si ingepelekwa chit chat hii, naona hili jukwaa linakuwa abused sasa.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 21,859 Reaction score 19,736 Aug 20, 2014 #9 Wewe unakufa lini?
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,393 Aug 20, 2014 #10 Naomba uniambie wajumbe wa BMK walioko Dodoma wanakufa lini? Na kama inawezekana vifo vyao viharakishwe. Asante
Naomba uniambie wajumbe wa BMK walioko Dodoma wanakufa lini? Na kama inawezekana vifo vyao viharakishwe. Asante
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,097 Aug 20, 2014 #11 Huu upuuzi ndio umeuleta kwenye hili jukwaa?
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,595 Reaction score 3,670 Aug 20, 2014 #12 Wataalamu wanashauri matumizi ya bange ilokauka na sio mbichi km alotumia mtoa mada
Bei Mbaya JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,262 Reaction score 847 Aug 20, 2014 #13 Kama uliwahi kufa nitakuuliza? Hujaeleza utalaam wako umejengwa spiritually au kisayansi?
Mzenjibar JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 227 Reaction score 292 Aug 20, 2014 #14 Kifo ni nn?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,346 Aug 21, 2014 #15 MNYISANZU said: Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo. Click to expand... Umeanzisha mada then umekimbia. Kama si utoto ni nini? :focus: Naomba unipe hatua za kifo na nini kinachoendelea baada ya kifo kwa huyo aliekufa.
MNYISANZU said: Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo. Click to expand... Umeanzisha mada then umekimbia. Kama si utoto ni nini? :focus: Naomba unipe hatua za kifo na nini kinachoendelea baada ya kifo kwa huyo aliekufa.
TUMBOO JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 3,827 Reaction score 2,021 Aug 21, 2014 #16 Hahaaaa jaman kweli hii kalii
S simakoku JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 537 Reaction score 586 Aug 21, 2014 #17 Uko wapi sasa uje ujibu mbona umeingia mitini? tayari kuna maswali yakutosha kujibu mkuu
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,296 Reaction score 12,972 Aug 21, 2014 #18 :doh: :doh:
xbs JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 246 Reaction score 218 Aug 21, 2014 #19 Ndo umeshakufa au vipi? Mbona hujibu sasa maswali yamejaa uku!