Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Nina vitalu vya kuchimba gypsum kilwa lakini sina mtaji wala masoko,kwa mwenye kuhitaji awekeze anitafute,ziko PML 7 na zote zinalipiwa.
Kuna wataalamu wengi humu

Am sure watakutafuta mkuu
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Vzuuuur Sana mkuu!!!!!!! Climatology is very interesting Study
 
wakuu youngkato,kimberlite,john cannor,felsic,avatar mok na wengine mageologist lingeundwa group la whatsapp ili kupeana changamoto,mikakati,deals kwenye hii fani,wengi wenu mna uzoefu wa kutosha...natanguliza muswada wakuu
 
Shukrani sana mkuu.

Kama utaweza kuongoza hilo group. Au kwa yeyoye aliyeko tayari

Tutoe namba zetu liweze kufanikiwa.
Kwa watakaokuwa interested.

Vilevile kuna watu wengi wamenifata inbox.

Itakuwa ni vizuri tukiwa na group la kusaidiana kama hivo.

NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO
 
ok mkuu...tungepata feedback kwa watu zaid ya 10 wadau wa sekta hii,geologists both juniors na seniors,businessmen,geology enthusiasts n.k..kwa wale wenye nia bas naomba mnipm namba zenu au umnaweza kuziweka kwenye thread...asanteni
 
0683724242
Mkuu acha kuleta mzaha kwenye mambo serious, hii namba siyo ya kwako nimeipiga anayepokea hajui lolote kuhusu Gypsum wala hata JF haijuhi.

Nimeikaguwa namba niliyoipiga na nikamwambia anitajie namba yake ameitaja namba hii kwa usahihi kabisa. So strange sijui intention yako ni nini hasa!!
 
Hilo swali nshawahi kukutana nalo mara nyingi. Ngoja nijikumbushe kidogo badae ntakupa exactly answers
Tatizo la geology ni nadharia xana mfano huwezi mwambia mtu igneous rock ilitokea miaka million 500 iliyopita af akakuelewa, no proof for that
 
Tatizo la geology ni nadharia xana mfano huwezi mwambia mtu igneous rock ilitokea miaka million 500 iliyopita af akakuelewa, no proof for that
Evidence zote zinafanyika laboratory mkuu.

Tatizo ni technology ya vyuo vyetu bado ipo chini sana
 
Mtu kama yupo serious atakufata pm

Usiamini sana watu wanaopost hapa.
Tumetofautiana

Ila ni vizuri tukiwa serious lengo la huu uzi ni kusaidiana. Kimawazo na kimaisha
 
ok mkuu...tungepata feedback kwa watu zaid ya 10 wadau wa sekta hii,geologists both juniors na seniors,businessmen,geology enthusiasts n.k..kwa wale wenye nia bas naomba mnipm namba zenu au umnaweza kuziweka kwenye thread...asanteni
Hasante sana.

Watakaokuwa serious tutakufata inbox mkuu
 
Mi naomba kujua why is this possible?
View attachment 372005
Theoretically;

Maji yenye miambatano ya minerals na contents tofauti tofauti zinazokuwa zinasombwa na maji ya mito usababisha maji yale kuwa na density kubwa, hivyo husababisha maji haya kuflow chini iyo ni case #1

Case #2,ni maji ya bahari au ziwa kuwa na density kubwa kuliko maji yanayoletwa na mto ivyo haya maji yata float kwa juu endapo yatakutana

Kwapamoja hizi case 2 kitaalamu zinajulikana kama turbulent current.. Kwamba inatokea kwasababu ya kuwepo na density mbili tofauti ya maji yanapokutana.

Siku zote vimiminika viwili vinavyotofautiana densty haviwezi kujichanganya katika condition za kihalisia(natural condition) labda lab ndo inaweza kufanyika.

*ktk picha unaona jinsi yalivyo tengana hii ndo sababu
 
Hasante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…