Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Vzuuuur Sana mkuu!!!!!!! Climatology is very interesting StudyHii ni kwasababu hii..
Atmosphere ina particle molecules za gas tofaut tofauti particle za dusts na kadharika, hivyo miale ya mwanga wa jua inapo approach surface ya dunia kuna kitendo kinafanyika pale ambacho kinaitwa collision(scattering), na hii hupelekea kugeuzwa geuzwa kwa hii miale ktk uelekeo tofauti as u know kwamba mwanga unasafiri katika njia ilio nyoofu.
Mwanga wajua ktk spectrum ya light (range of different frequency of ligh),
Blue light inayopatikana ktk visible region ya light spectrum, zinakuwa na short wavelength(yaani umbali wa cycle moja na nyingine) na ivo hii short wavelength ya blue light ikigongana na izo particle za gas na vumbi inakua rahisi kugeuzwa katka direction nyingine.,
Kwasababu particle zina size kubwa
Pia hii blue light ina frequency kubwa ivo inashindwa ku penetrate katika izo particle mwisho wa siku unaona sky yenye blue color..
This is the reason behind..
Pia unaweza uliza tena kwanini mida ya saa 11 hadu sa 12 ivi sky inaonekana kuwa red au reddish brown..
Au kwa nn bahari inakuwa ya blue...
Au kwanini satellites zinatoa picha zikionesha vegetation ni za kijani......
INTERESTING [emoji1] [emoji87]
Shukrani sana mkuu.wakuu youngkato,kimberlite,john cannor,felsic,avatar mok na wengine mageologist lingeundwa group la whatsapp ili kupeana changamoto,mikakati,deals kwenye hii fani,wengi wenu mna uzoefu wa kutosha...natanguliza muswada wakuu
Shukrani sana mkuu.
Kama utaweza kuongoza hilo group. Au kwa yeyoye aliyeko tayari
Tutoe namba zetu liweze kufanikiwa.
Kwa watakaokuwa interested.
Vilevile kuna watu wengi wamenifata inbox.
Itakuwa ni vizuri tukiwa na group la kusaidiana kama hivo.
NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO
ok mkuu...tungepata feedback kwa watu zaid ya 10 wadau wa sekta hii,geologists both juniors na seniors,businessmen,geology enthusiasts n.k..kwa wale wenye nia bas naomba mnipm namba zenu au umnaweza kuziweka kwenye thread...asanteniShukrani sana mkuu.
Kama utaweza kuongoza hilo group. Au kwa yeyoye aliyeko tayari
Tutoe namba zetu liweze kufanikiwa.
Kwa watakaokuwa interested.
Vilevile kuna watu wengi wamenifata inbox.
Itakuwa ni vizuri tukiwa na group la kusaidiana kama hivo.
NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO
Hapa unamaanisha zipo site 7 tofauti? Je unamiliki peke yako au uko na partners wenzako?Nina vitalu vya kuchimba gypsum kilwa lakini sina mtaji wala masoko,kwa mwenye kuhitaji awekeze anitafute,ziko PML 7 na zote zinalipiwa.
Mkuu acha kuleta mzaha kwenye mambo serious, hii namba siyo ya kwako nimeipiga anayepokea hajui lolote kuhusu Gypsum wala hata JF haijuhi.0683724242
Tatizo la geology ni nadharia xana mfano huwezi mwambia mtu igneous rock ilitokea miaka million 500 iliyopita af akakuelewa, no proof for thatHilo swali nshawahi kukutana nalo mara nyingi. Ngoja nijikumbushe kidogo badae ntakupa exactly answers
Evidence zote zinafanyika laboratory mkuu.Tatizo la geology ni nadharia xana mfano huwezi mwambia mtu igneous rock ilitokea miaka million 500 iliyopita af akakuelewa, no proof for that
Mtu kama yupo serious atakufata pmMkuu acha kuleta mzaha kwenye mambo serious, hii namba siyo ya kwako nimeipiga anayepokea hajui lolote kuhusu Gypsum wala hata JF haijuhi.
Nimeikaguwa namba niliyoipiga na nikamwambia anitajie namba yake ameitaja namba hii kwa usahihi kabisa. So strange sijui intention yako ni nini hasa!!
Hasante sana.ok mkuu...tungepata feedback kwa watu zaid ya 10 wadau wa sekta hii,geologists both juniors na seniors,businessmen,geology enthusiasts n.k..kwa wale wenye nia bas naomba mnipm namba zenu au umnaweza kuziweka kwenye thread...asanteni
Mi naomba kujua why is this possible?
View attachment 372005
Mi naomba kujua why is this possible?
View attachment 372005
Theoretically;Mi naomba kujua why is this possible?
View attachment 372005
Nahisi ni jiwe linye kuambatana na madini ya dhahabu... (sina hakika sana)Mi naomba kujua why is this possible?
View attachment 372005
Hasante sana mkuuTheoretically;
Maji yenye miambatano ya minerals na contents tofauti tofauti zinazokuwa zinasombwa na maji ya mito usababisha maji yale kuwa na density kubwa, hivyo husababisha maji haya kuflow chini iyo ni case #1
Case #2,ni maji ya bahari au ziwa kuwa na density kubwa kuliko maji yanayoletwa na mto ivyo haya maji yata float kwa juu endapo yatakutana
Kwapamoja hizi case 2 kitaalamu zinajulikana kama turbulent current.. Kwamba inatokea kwasababu ya kuwepo na density mbili tofauti ya maji yanapokutana.
Siku zote vimiminika viwili vinavyotofautiana densty haviwezi kujichanganya katika condition za kihalisia(natural condition) labda lab ndo inaweza kufanyika.
*ktk picha unaona jinsi yalivyo tengana hii ndo sababu
Mitanzania ndivyo ilivyo.Geotechnical sio geotechnic