Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Kwanini mpaka sasa hakuna mjeolojia hata mmoja aliyegundua migodi TZ?!
 
Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.

Za machimbo mzee
Nilitegemea hii elimu ingekufanya ujue/uvumbue sehemu ambayo inamadini yenyewe thamani, ya kuchimba hata kwa jembe.
Au unasubiri wanakijiji wavumbue!?
 
Sasa kumbe jibu pia unalo.

Sina hapa karibu kiufupi alihusika sana na ugunduzi wa tanzanite, ungeelewa kwanini hakuna jiolojia alie vumbua kama kuvumbua.
Kwanini unaogopa kuiweka hapa! Najua TZ yote ishafanyiwa exploration na Ramani zipo pale GST.
 
Sasa ulikua unamuuliza ujibu kiswahili au english ulimaanisha nini? Au english ni simple sababu una google tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…