Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

NIELIMISHE KUHUSIANA NA TANZANITE

je ni jabali gani linakuwa na tanzanite na mfumo wake wote kwenye eneo linalokuwa na madini upo vipi?

Vip kuusu elimu hii ya uchimbaji wa tanzanite ilikuwepo kabla ya tanzanite kugundulia!! Au ipo darasani ikiwa imekamilika kabla ya ugunduzi wa tanzanite, au bado tanzanite inachimbwa na utafiti wa miamba yake Bado unaendelea?

Swali la mwisho
Nikwanini baadhi ya madini ya tanzanite yanakua yameungana na green garnet yaani unakuta upande mmoja tanzanite upande wa pili green garnet?
 
Tanzanite ilijitengeneza kutokana na mfumo wa joto Kali na namna maji yalivyokua yanakimbia moto wa kivolcano

tanzanite kuwa kwenye eneo lenye maji na pambapamba kulisababishwa na kufunga nakufungua kwa hali hiyo ya mkimbio wa lava na maji

Jabali linalokaa na tanzanite nijabali lililooza tunaliita buding lugha zoefu mnaliita jabali la sukari

Eneo linalotoa tanzanite sio maeneo yote ni kwenye eneo tunaloliita kitaalamu jw zone

Kufungua kwa tanzanite na kutengeneza rangi kunategemena najoto lilikua kiasi gani wakati folds tuck inatokea
 
Inasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Eneo hilo Kuna lavakali inayozunguka speed ambayo haipo kwenye dunia Kwa Sasa pia kuna maji yanayozunguka speed kupishana na huu uji wa volcano hapo ndipo mlipuko wa muundo wa dunia ulianzia
 
Samahani naomba kuuliza swali na swali langu ni kuwa kwamba cheti cha mtahiniwa wa masomo ya QT huwa kina nguvu kwenye ajira duniani.
 
Mkuu...
Nini maana ya Hanging wall na Foot wall in mining?
 
Je niaina zipi za miamba yenye high mineralization na ukanda wake ni upi hapa Tanzania?
 
Huu mwamba ukiukuta meta 80 chini ya ardhi, uelekeo wake ukoje?
Utaendelea kuwepo au utakata?
2. Nikiendelea hadi urefu WA meta 250 kuuchimba, nini kitatokea?
 
Attachments

  • IMG_20241213_155435_707.jpg
    IMG_20241213_155435_707.jpg
    534.4 KB · Views: 3
Huu mwamba ukiukuta meta 80 chini ya ardhi, uelekeo wake ukoje?
Utaendelea kuwepo au utakata?
2. Nikiendelea hadi urefu WA meta 250 kuuchimba, nini kitatokea?
Aina hii ya mwamba nilikutana nao maeneo ya Mara na imeambatana zaidi karibu na wanaita Mara shia zone.
Huu mwamba hua hauna mchirizi ama vein, na mwamba wa aina hii huenda hadi mita karibu 200 above the ground, kabla ya kushikana kwa chini na kuwa reef moja ambayo hujitenga kwenye zone moja.
Maranyingi wachimbaji wakubwa wanapo pata mwamba unao fanana na hu, hua wanachimba Open Pit Mine
 
Ni

Ni nini ushauri wako!
Ukifika meta hizo 200 kinatokea nini?
Je eneo lenye mwamba huo ni eneo linalohitaji uwekezaji?
 
Ni
Ni nini ushauri wako!
Ukifika meta hizo 200 kinatokea nini?
Je eneo lenye mwamba huo ni eneo linalohitaji uwekezaji?
Eneo kama hilo wekeza kwa 100% na faida maradufu utaipata mkuu.
Kwakifupi nikwamba.....
The more unavyo zidi kushuka chini, ndio the richer gold utapata.
Na ukiona mwamba kama huo kuna uwezekano wa kupata vikole kule chini kwa karibu 40%
 
Samahani naomba kuuliza swali na swali langu ni kuwa kwamba cheti cha mtahiniwa wa masomo ya QT huwa kina nguvu kwenye ajira duniani.
Itakusaidia ukipata nafasi kama Miner trainee, na hasa ukianzia kwenye Service Crew...😊
 
Back
Top Bottom