Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

hivi geology anaweza kufanya Kazi za mining tu Kama mining engineer
 
Hiv chini ya ardh kuna nini? Yaan mwishobwake ukoje huko chini?
Na huko juu nako kuna nini ukishamaliza hizi mawingu? Kwa mungu ni wap? Huko mawinguni au?
 
[SUP]nimesoma diploma ya ualimu masoma ni chemistry na biologia ila nina hitaji kusoma degree tofaut na education msaa plz mfano bachelor of sciencienc in chemistry msaada plz [/SUP]
 
Naomba kujua utofauti kat ya course xa geology za udsm na udom mfano geology na applied geology
 
Mleta mada mada Kuna eneo yanapatikana mawe yenye rangi mbili Yana mistari Kama Pundamilia nyeupe na nyeusi je hayo ni Aina gani ya madini?
 
Mleta mada mada Kuna eneo yanapatikana mawe yenye rangi mbili Yana mistari Kama Pundamilia nyeupe na nyeusi je hayo ni Aina gani ya madini?
Mpaka tuone clear pictures na eneo yanakopatikana ni wapi
 
Mkuu inawezekana nimekuja sehemu sahihi kuuliza swali langu. Yale mawe pale Mwanza na ukanda wote ule wa ziwa, kwa utaalamu wako yalitokana na nini?? Yamebebana makubwa sana na ni mengi karibu mkoa mzima. Huwa sipati jibu kwamba yalitokana na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…