joshua siao
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 174
- 100
Eneo hilo Kuna lavakali inayozunguka speed ambayo haipo kwenye dunia Kwa Sasa pia kuna maji yanayozunguka speed kupishana na huu uji wa volcano hapo ndipo mlipuko wa muundo wa dunia ulianziaInasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Ndio vipo mkuu. Kuna MRI - Mineral Resources Institute kipo Dodoma ni tawi la Udsm, pia kingn kilikuwepo shinyanga kama sijakosea.Je, Kuna vyuo vya diploma ya kusomea geology Tanzania?
GRANITE ukiwa subjected under high temperature and pressure inaform rock gani?[/QUOT when granite is subjected under high temperature and pressure directly it will form gneiss
Je geology ya dhahabu ipo clearly?Ngoja nimsaidie,kwa kifupi hakuna clear geology ya Tanzanite.
Aina hii ya mwamba nilikutana nao maeneo ya Mara na imeambatana zaidi karibu na wanaita Mara shia zone.Huu mwamba ukiukuta meta 80 chini ya ardhi, uelekeo wake ukoje?
Utaendelea kuwepo au utakata?
2. Nikiendelea hadi urefu WA meta 250 kuuchimba, nini kitatokea?
Ni nini ushauri wako!Aina hii ya mwamba nilikutana nao maeneo ya Mara na imeambatana zaidi karibu na wanaita Mara shia zone.
Huu mwamba hua hauna mchirizi ama vein, na mwamba wa aina hii huenda hadi mita karibu 200 above the ground, kabla ya kushikana kwa chini na kuwa reef moja ambayo hujitenga kwenye zone moja.
Maranyingi wachimbaji wakubwa wanapo pata mwamba unao fanana na hu, hua wanachimba Open Pit Mine
Eneo kama hilo wekeza kwa 100% na faida maradufu utaipata mkuu.Ni
Ni nini ushauri wako!
Ukifika meta hizo 200 kinatokea nini?
Je eneo lenye mwamba huo ni eneo linalohitaji uwekezaji?
Hii ni Geographic Information SystemGIS NI NINI?
Itakusaidia ukipata nafasi kama Miner trainee, na hasa ukianzia kwenye Service Crew...😊Samahani naomba kuuliza swali na swali langu ni kuwa kwamba cheti cha mtahiniwa wa masomo ya QT huwa kina nguvu kwenye ajira duniani.