The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Je kuna uwezekano wa kugundua gold deposit ambayo inaweza kuwa mgodi maeneo ya Dodoma?Kama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.
Hasanteni sana
View attachment 371087
Hii ni kitu ya kawaida kwenye mawe, shimo moja ninawezakuwa na mawe mchanganyiko, na hasa white Felisper pia hujitokeza.Mr Geo youngkato nilipewa hii hand specimen nikarecognise kuwa ni olivine(greens) na garnets(reddish)..najiuliza is it possible hizi minerals kutokea pamoja? I failed to interpret the geology!! Naomba unambie.
Ieleweke kwamba minerals (madini ) yote yametokana na pale molten magma (mantle) inapobadirika kuwa solid (inapoganda) ndo madini yote huwa yanatokea.Naomba kujua kuhusu madini ya tanzanite me nimechimba sana ila hadi leo nna maswali huwa najiuliza labda wewe utanipa jibu...
1.nini kinachangia haya madini kujiumba au yaliwekwa tu?nasema labda yaliwekwa sababu unapokutana na pocket huwa unakuta vitu kama sufi na lile jiwe lipo hapo makarne mengi.
2.katika tanzanite kuna tanzanite unakuta imeungua au unakuta sio top color yaani limefifia na unaweza kukuta lingine limeiva yaani very very good
Pamoja na kujua kwamba minerals nyingi zinatambuliwa na Physical properties, na physical properties zipo nyingi ikiwa pamoja na hizo habit au form {shape}na color za minerals, ..lakini..Hii ni kitu ya kawaida kwenye mawe, shimo moja ninawezakuwa na mawe mchanganyiko, na hasa white Felisper pia hujitokeza.
Hilo swali nshawahi kukutana nalo mara nyingi. Ngoja nijikumbushe kidogo badae ntakupa exactly answersPlease please can you tell us how classical physics illifel kuelezea geological time scale in relation to basin formation and sedimentation of sedimentary ricks....shuka ung'eng'e
Ndio its possible. Hii inatokana na solid solution. Inapokuwa inatokea temperature inabadirika but pressure inabaki constant. At the end zote zinakuwa stable at the same condition. Thats why you can observe such conditionMr Geo youngkato nilipewa hii hand specimen nikarecognise kuwa ni olivine(greens) na garnets(reddish)..najiuliza is it possible hizi minerals kutokea pamoja? I failed to interpret the geology!! Naomba unambie.
Asante mkuu..jitahidi...make maswali haya yanakufanya ujikumbushe mengiHilo swali nshawahi kukutana nalo mara nyingi. Ngoja nijikumbushe kidogo badae ntakupa exactly answers
Ndio maji ni ya baridi lakini katikati ya bahari kuna sehemu zinaitwa mid oceanic ridge. Hapo kuna active tectonic na joto lake lipo juu zaidi ukiringanisha na sehemu nyingine za bahari. This is one of the evidence kwamba plates are movingInasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.Je kuna uwezekano wa kugundua gold deposit ambayo inaweza kuwa mgodi maeneo ya Dodoma?
Asante sana mkuu kwa kuanzisha uzi huu ambao kimsingi ni uzi ambao utakufanya ujikubali kwa kadri utakavyojib maswali ya critical asked qns lakini pia ni uzi huu huu utakaokufanya uprove failure elimu yalo...Mkuu natumia knowledge yangu niliyoipata miaka minne.
Nshajibu swali lako mkuuPamoja na kujua kwamba minerals nyingi zinatambuliwa na Physical properties, na physical properties zipo nyingi ikiwa pamoja na hizo habit au form {shape}na color za minerals, ..lakini..
Hapo bado ujaconclude kwa kusema INAWEZEKANA kuwa shimo moja kuwa na mawe mchanganyiko kwa maana umefanya closest possible identification.
Mawe yako katika aina kuu tatu, sedimentary, igneous na metamorphicsijui na hili linakuhusu lkn kama unajua nijibu.
mawe yanaform vipi..?