zuhoriflame
New Member
- Aug 18, 2015
- 2
- 0
Oriflame wana bidhaa nzuri sana
Na kula mlenda nywele ziwe lainiMbinu ni kunywa maji na kufanya mazoezi.
Tangu Vicent Kigosi (Ray) aueleze umma kwamba weupe wake ni matokeo ya unywaji maji mengi na kufanya mazoezi, tabu imekuja kwa house girl wetu kufakamia maji utadhani ametoka jangwani...siku hizi huyakuti maji jokofuni,kisa mdada wetu anataka awe "mdhungu"Bidhaa za urembo wa uso na mwilini kwa wanawake na wanaume kuondoa chunus sugu, mafuta uson, madoa, mabaka mwilini, kuondoa makunyanzi usoni, kunuka miguu na fangas, perfume, lotion za mwilin, mascara za kurefusha kope, wanja, enjoface, Sabun za kuogea, shampoo za kuondoa mba, kukuza nywele na kujaza.
Tuwasliane [HASHTAG]#0659365734[/HASHTAG]
Pia lotion za kulainisha na kutakatsha mwili bei nafuu