[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] usimuogope huyu me mjomba wangukabisa ndio maana sina shaka nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mods jamani!
Utavuna mabua handsome...Jamaaanii kigori me mwenyewe mod ujue.
Utavuna mabua handsome...
Yule mkeo wa jf asijenitoa macho
Yule babe wako bana handsomeMke?[emoji15][emoji15] Yupi huyo Kigori?
Yule babe wako bana handsome
Sikumbuki ID yake vizuri, but nikiwakuta pamoja nitakukumbusha handsome, usijaliEmbu ning'ate sikio kama unaogopa kumuweka hapa hadharani.
Sikumbuki ID yake vizuri, but nikiwakuta pamoja nitakukumbusha handsome, usijali
Hapana, simjui jamaniiHata hivyo si kweli labda utakuwa unamzungumzia binamu yangu.
Unamjua binamu yangu?
Hapana, simjui jamanii
Sawa handsome.Huyo unayemzungumzia ni binamu yangu kipenzi.
Yaani mtu akitaka nigombane nae baasi agombane na binamu yangu.
Sawa handsome.
1. Usensitive wake nini?1. Sensitive
2. Nimeoa
3. Watoto wawili
Huo mstari wa mwisho ndo umemaliza kila kitu handsomeMe sio handsome mbona kigori.
Wasira ana nafuu. Au uhandsome wa mtu uko machoni pake?
Una biashara yoyote nje ya kazi? maana hayo uliyoyataja hata sekretari wangu anayoMafanikio yapo, kwa maana nina kazi inayoniendesha, nina familia yangu na pia nimejenga.
EeehhhhMimi ni below 40