Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Sijawahi na wala sintokuja kufanya hivyo kwa maana kwa mujibu wa Uislam mtu akifanya hivyo,
1. Allah hamtomtizama mtu huyo kwa jicho la rehma.
2. Mafikio yake siku ya hukmu ni Jahannam. Ila kama atatubia na kutoendelea kufanya kitendo hicho.
Liwati imekharamishwa.
[/QUOTE
Mkuu jibu lilikua ndio au hapana hukuambiwa utoe maelezo, unataka kukatisha tamaa wenye nia hiyo. Samahani lakini