Mwanga na Giza.,...Je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
Definition ya mungu ni muweza kwa kila kitu na shetani na binaadamu amewaumba yeye,mungu amewapa hiari kati ya binaadamu na majini wafanye watakalo hivyo wakifanya vibaya watapta adhabu na wakifanya wema watapata mapenzi ya mungu,hivyo shetani si kufeli kwa mungu ila ni mtihani kwetu sisi wana damu.Je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
Nadhani inahitaji maelezo ya kisayansi zaidi..Ukisema Mungu ndiyo tutasema basi kila kitu kilivyo ni uwezo wa Mungu..sijakataa, ila sayansi inasemaje?Kuhusu rangi ya mbingu ni maumbile na hizo ni dalili za kuwepo mungu na kuhusu vipi space inaelea ni kwasababu ya ozone layer, ni layer special ya anga ambayo ipo baina ya sayari
Ujuzi huo upo kwa munguTuambie ni lini ccm itangolewa nadarakani.
Nashukuru kwa kunithibitishia kuwa mungu sio muweza wa yoteDefinition ya mungu ni muweza kwa kila kitu na shetani na binaadamu amewaumba yeye,mungu amewapa hiari kati ya binaadamu na majini wafanye watakalo hivyo wakifanya vibaya watapta adhabu na wakifanya wema watapata mapenzi ya mungu,hivyo shetani si kufeli kwa mungu ila ni mtihani kwetu sisi wana damu.
Na mungu anajua zaidi
Hapana utofauti hapo Albert Bashite ndio jina la kuzaliwa na Paul MakondaNipe tofauti kati ya Paul Makonda na Albert Bashite...
Unajuwa suali lako linahitaji maelezo marefu na post hiyo nitaipost katika mtandao wangu mpya www.telona.cfNadhani inahitaji maelezo ya kisayansi zaidi..Ukisema Mungu ndiyo tutasema basi kila kitu kilivyo ni uwezo wa Mungu..sijakataa, ila sayansi inasemaje?
Aaaaahahahahahaahahahha..... Mbavu zangu ulivomnanga uyo..... Me amenichekesha sijui hajasoma kilichoandikwa??sijui umekurupuka kutoka koromije wewe aagrrh!
MTOA UZI KASEMA ATAJIBU KUANZIA SAA MBILI
Harmorapa vipi lakini??
kwahiyo wewe ni mzungu, au wakiristo wote wazungu, na maria alikua mwarabuKwasababu wazubgu hawavai kanzu
hahahaha [emoji23] [emoji23]Aaaaahahahahahaahahahha..... Mbavu zangu ulivomnanga uyo..... Me amenichekesha sijui hajasoma kilichoandikwa??
Kama ni hivyo wakiristo wengi hawafuati kitabu chao maana bibilia hata kulewa imekataza lakini wao hawalewi hawakunywi pombe.Hivyo sometimes kitu kinaweza kuwa kweli na watu wa kakipinga wasikifuate , lakini ukweli utabakia hivyo mama maria alikuwa akivaa mtandio,sasa watakuwa wanafanya kwa matashi yao na wanaacha amri ya mungukwahiyo wewe ni mzungu, au wakiristo wote wazungu, na maria alikua mwarabu
Ili kukusaidia tafadhali soma post hii katika mtandao wangu http://telona.cf/article/other/usikate-tamaa.htmlNahitaji kuwa mtu mwenye kipato kikubwa nifanyeje? Sijafikia umri wa miaka 40.
Haya, na tujibu sasaBinaadamu yoyote hudharurika lakini ahadi naitimiza