Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 334
- Thread starter
-
- #101
kukujibu hilo itakuwa ni marefu sananifanyeje ili nifanikiwe kibiashara?
Nina miaka 24 elimu yangu ni science ya computer1.Elimu yako ni kiwango gani.. Na una miaka Mingapi!?
Ndio.Wewe ni mtanzania kweli?
Umekosa mkuu, kwa kifupi Suali ni neno la kibashite likimaanisha Swali na Swali ndo kile anachoulizwa mtu,Hakuna utofauti wowote ila ni kiswahili tu
Ahsante bother.Umekosa mkuu, kwa kifupi Suali ni neno la kibashite likimaanisha Swali na Swali ndo kile anachoulizwa mtu,
Ujuzi huo upo kwa munguKwa siku unavuta pumzi mara ngapi?
Kuonesha asili yake ni "ona", kwa maana hapa tunatakiwa tutazame hiko tunachooneshwa.Tofaut kati ya neno kuonyesha na Kuonesha
thanks, nimependa na labda nikutowe wasi wasi lengo langu sio kupoteza muda kwasababu hapa na kwa masaa kile ninachokiwezaWadau natumaini mnaendea na harakati za maisha kama kawaida.
Wanasema binadamu tunajifunza kila siku, nakubali bila ya kinyongo. Kwani ni Jambo Jema kwa binadamu kujifunza, tunapunguza ujinga na kuongeza maarifa.
Mdau kaja na wazo zuri mimelipenda, Ila nina wasiwasi kuna vitu vitamshinda kwani hakuna anayejua kila kitu humu duniani.
Unaposema "uliza chochote nitakujibu" bila Shaka unamaanisha una majibu ya kila kitu!
Hatutegemei utupe Majibu yatakayotuachia maswali au yasio jitosheleza. Vinginevyo una lengo la kuwapotezea watu muda.
baadhi ya watu wameanza kuuliza maswali ya kukujaribu au yasiyo na maana! Hii inaonyesha Wazo lako ni zuri Ila lina utata.
NAFIKIRI INGEKUWA VIZURI KAMA UNGESEMA TUKUULIZE SWALI LOLOTE KWENYE KITU ULICHOBOBEA.
Maswali ya kizushi:
1. Hivi baharini kuna samaki wengi kiasi gani?
2. Tumeambiwa yesu atarudi siku za mwisho, je ni siku na tarehe gani?
3. Maandiko mengi yanamrifaa mungu kama mwanaume! Je inawezekana akawa ni mwanamke? Nani alimuona?
4. Je wewe utakufa siku na tarehe gani?
5. Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya uvamizi na watu kutekwa, huko isti afrika! Je ni nani anafanya hayo mambo?
Asante.
thanks, nimependa na labda nikutowe wasi wasi lengo langu sio kupoteza muda kwasababu hapa na kwa masaa kile ninachokiweza
NDIO BRO, KUKOSELEWA NI KAWAIDA MEANS NO B PERFECTThanks bro, tupo pamoja na hivi ndio kujifunza kwenyewe. Pamoja na kukukosoa, tayari nimejifunza vitu kadhaa. Kuna wadau wameuliza maswali Mengine ya utani na mengine mazuri sanaaa, Binafsi sikuwa nayawaza. Nimecheka na kujifunza.
WAZO LAKO NI ZURI, TEGEMEA KUKOSOLEWA NA KUKEJRLIWA. USIKATE TAMAA SONGA MBELE