Niulize swali lolote nitakujibu

Niulize swali lolote nitakujibu

Wadau natumaini mnaendea na harakati za maisha kama kawaida.

Wanasema binadamu tunajifunza kila siku, nakubali bila ya kinyongo. Kwani ni Jambo Jema kwa binadamu kujifunza, tunapunguza ujinga na kuongeza maarifa.

Mdau kaja na wazo zuri mimelipenda, Ila nina wasiwasi kuna vitu vitamshinda kwani hakuna anayejua kila kitu humu duniani.
Unaposema "uliza chochote nitakujibu" bila Shaka unamaanisha una majibu ya kila kitu!
Hatutegemei utupe Majibu yatakayotuachia maswali au yasio jitosheleza. Vinginevyo una lengo la kuwapotezea watu muda.

baadhi ya watu wameanza kuuliza maswali ya kukujaribu au yasiyo na maana! Hii inaonyesha Wazo lako ni zuri Ila lina utata.

NAFIKIRI INGEKUWA VIZURI KAMA UNGESEMA TUKUULIZE SWALI LOLOTE KWENYE KITU ULICHOBOBEA.

Maswali ya kizushi:
1. Hivi baharini kuna samaki wengi kiasi gani?
2. Tumeambiwa yesu atarudi siku za mwisho, je ni siku na tarehe gani?
3. Maandiko mengi yanamrifaa mungu kama mwanaume! Je inawezekana akawa ni mwanamke? Nani alimuona?
4. Je wewe utakufa siku na tarehe gani?
5. Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya uvamizi na watu kutekwa, huko isti afrika! Je ni nani anafanya hayo mambo?

Asante.
 
Tofaut kati ya neno kuonyesha na Kuonesha
Kuonesha asili yake ni "ona", kwa maana hapa tunatakiwa tutazame hiko tunachooneshwa.
Kuonyesha asili yake ni "onya", kwa maana hapa kukatazwa kitu. au pia unaweza kutumia neno "kutahadharisha" badala ya "kuonyesha"
thnx
 
Wadau natumaini mnaendea na harakati za maisha kama kawaida.

Wanasema binadamu tunajifunza kila siku, nakubali bila ya kinyongo. Kwani ni Jambo Jema kwa binadamu kujifunza, tunapunguza ujinga na kuongeza maarifa.

Mdau kaja na wazo zuri mimelipenda, Ila nina wasiwasi kuna vitu vitamshinda kwani hakuna anayejua kila kitu humu duniani.
Unaposema "uliza chochote nitakujibu" bila Shaka unamaanisha una majibu ya kila kitu!
Hatutegemei utupe Majibu yatakayotuachia maswali au yasio jitosheleza. Vinginevyo una lengo la kuwapotezea watu muda.

baadhi ya watu wameanza kuuliza maswali ya kukujaribu au yasiyo na maana! Hii inaonyesha Wazo lako ni zuri Ila lina utata.

NAFIKIRI INGEKUWA VIZURI KAMA UNGESEMA TUKUULIZE SWALI LOLOTE KWENYE KITU ULICHOBOBEA.

Maswali ya kizushi:
1. Hivi baharini kuna samaki wengi kiasi gani?
2. Tumeambiwa yesu atarudi siku za mwisho, je ni siku na tarehe gani?
3. Maandiko mengi yanamrifaa mungu kama mwanaume! Je inawezekana akawa ni mwanamke? Nani alimuona?
4. Je wewe utakufa siku na tarehe gani?
5. Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya uvamizi na watu kutekwa, huko isti afrika! Je ni nani anafanya hayo mambo?

Asante.
thanks, nimependa na labda nikutowe wasi wasi lengo langu sio kupoteza muda kwasababu hapa na kwa masaa kile ninachokiweza
 
Thanks bro, tupo pamoja na hivi ndio kujifunza kwenyewe. Pamoja na kukukosoa, tayari nimejifunza vitu kadhaa. Kuna wadau wameuliza maswali Mengine ya utani na mengine mazuri sanaaa, Binafsi sikuwa nayawaza. Nimecheka na kujifunza.

WAZO LAKO NI ZURI, TEGEMEA KUKOSOLEWA NA KUKEJRLIWA. USIKATE TAMAA SONGA MBELE
 
NDIO BRO, KUKOSELEWA NI KAWAIDA MEANS NO B PERFECT
KUKEJELIWA SIO TATIZO, NIKISABABISHA WATU 3 WAKICHEKA NA 3 WENGINE WAKICHEKA NI BOMBA
Hii mitandao imewekwa kwa ajili tujifunze na kuondoa mawazo
thanx sana, tuko p1
 
Back
Top Bottom