CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Snipes mbona mapema sana hahahahahaMakonda kampa nini rais mpaka asitumbuliwe??
Kwa nin wanawake wanavaa sketi na wanaume wanavaa suruali na sio kinyume chake?View attachment 493678
Leo ikiwa ni mara yetu ya kwanza kuanzisha thread hii kwenu.
Kama una tatizo lolote likusumbualo tuma swali lake tutakujibu
MAJIBU YATAANZA SAA 2:00 USIKU
Kwasababu ya ukuaji wa art na teknolojia, kwani hapo nyuma kidogo watu walikuwa hawavai hivi bali walikuwa wanatumiaKwa nin wanawake wanavaa sketi na wanaume wanavaa suruali na sio kinyume chake?
Thibitisha kwamba wewe Hujui kujibu maswali
Ni just kutoa pongezi tu kwa yaliongelewa, kama vile shule wakipiga madawatiNaomba maelezo kuhusu bungeni wanapopiga meza wana maanisha nini?
YapNasikia dunia inazunguka. Mimi nimechoka kuishi bongo,Swali ni hivi tukifika Hata Geneva utanishtua Ili nishuke kutoka bongo nihamie huko?
Kuna mengi bado siyajui na kuna mengi pia nahitaji kuyaona.Mimi ni mtu wa kujifunza na chalengeKwanini unataka kuulizwa maswali
Bother ndio nini?just was misspelling
isee nice to see yoNasikia dunia inazunguka. Mimi nimechoka kuishi bongo,Swali ni hivi tukifika Hata Geneva utanishtua Ili nishuke kutoka bongo nihamie huko?
aliungua akiwa anakul makande ya moto kwa mkono ndio akaoona atengeneze kichoteoAliegundua kijiko cha chakula alipatwa na nini kabla?