Niulize swali lolote nitakujibu

Niulize swali lolote nitakujibu

Nasikia dunia inazunguka. Mimi nimechoka kuishi bongo,Swali ni hivi tukifika Hata Geneva utanishtua Ili nishuke kutoka bongo nihamie huko?
 
Kwa nin wanawake wanavaa sketi na wanaume wanavaa suruali na sio kinyume chake?
Thibitisha kwamba wewe Hujui kujibu maswali
Kwasababu ya ukuaji wa art na teknolojia, kwani hapo nyuma kidogo watu walikuwa hawavai hivi bali walikuwa wanatumia
ngozi za wanyama kama nguo.
 
Back
Top Bottom