Niulize swali lolote nitakujibu

Niulize swali lolote nitakujibu

Nataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?

Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?

Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.

Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?

Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?

Chakula kinakula nini?

Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?

Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?

Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?

Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).

Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?

Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
Haya maswali umeruka?
 
Haya maswali umeruka?
In the name of Allah.
1.Wanasayansi wanakisia ya kwamba maji ni mengi kuliko ardhi kwa 75%, sasa kama tutaconvert 75% kwenda kwenye litres tutapa litres = 1,260,000,000,000,000,000,000 liters.
2.Kinachomfanya mtoto anywe maziwa ya mama yake kwasababu aliyemleta huyo mtoto duniani ameshatowa amri katika pati ya ubongo wake ya frontal lobes kwamba wewe ukifika duniani tu , anza kunyonya maziwa ya mama ako.
3.Kwasababu binaadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam naye ndiye aliyefundishwa na kutoka 0 hadi 9 na muumba wake .
UJUZI WA HAYA HASWA UPO KWA MUNGU
2.
 
Wadau natumaini mnaendea na harakati za maisha kama kawaida.

Wanasema binadamu tunajifunza kila siku, nakubali bila ya kinyongo. Kwani ni Jambo Jema kwa binadamu kujifunza, tunapunguza ujinga na kuongeza maarifa.

Mdau kaja na wazo zuri mimelipenda, Ila nina wasiwasi kuna vitu vitamshinda kwani hakuna anayejua kila kitu humu duniani.
Unaposema "uliza chochote nitakujibu" bila Shaka unamaanisha una majibu ya kila kitu!
Hatutegemei utupe Majibu yatakayotuachia maswali au yasio jitosheleza. Vinginevyo una lengo la kuwapotezea watu muda.

baadhi ya watu wameanza kuuliza maswali ya kukujaribu au yasiyo na maana! Hii inaonyesha Wazo lako ni zuri Ila lina utata.

NAFIKIRI INGEKUWA VIZURI KAMA UNGESEMA TUKUULIZE SWALI LOLOTE KWENYE KITU ULICHOBOBEA.

Maswali ya kizushi:
1. Hivi baharini kuna samaki wengi kiasi gani?
2. Tumeambiwa yesu atarudi siku za mwisho, je ni siku na tarehe gani?
3. Maandiko mengi yanamrifaa mungu kama mwanaume! Je inawezekana akawa ni mwanamke? Nani alimuona?
4. Je wewe utakufa siku na tarehe gani?
5. Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya uvamizi na watu kutekwa, huko isti afrika! Je ni nani anafanya hayo mambo?

Asante.
Haya siyo maswali nafikiri zitakua challenge kwa hii thread[emoji41]
 
In the name of Allah.
1.Wanasayansi wanakisia ya kwamba maji ni mengi kuliko ardhi kwa 75%, sasa kama tutaconvert 75% kwenda kwenye litres tutapa litres = 1,260,000,000,000,000,000,000 liters.
2.Kinachomfanya mtoto anywe maziwa ya mama yake kwasababu aliyemleta huyo mtoto duniani ameshatowa amri katika pati ya ubongo wake ya frontal lobes kwamba wewe ukifika duniani tu , anza kunyonya maziwa ya mama ako.
3.Kwasababu binaadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam naye ndiye aliyefundishwa na kutoka 0 hadi 9 na muumba wake .
UJUZI WA HAYA HASWA UPO KWA MUNGU
2.
Mengine hujamalizia ya huyo jamaa hebu mjibu kwanza
 
Mimi nimezaliwa mtoto wa ngapi katika familia yetu?
 
Muuza mitumba anaweza kujibu maswali ya wana J.f wote humu?
 
Haya maswali umeruka?
In the name of Allah.

Chakula kinakula nini?
Kinakula mwanga wa jua na maji.

Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?
Utatamani afe ili muwe pamoja.

Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?
Mayahudi enzi za musa hata muda hawakuchukua

Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).
Bila ya kuwa kila mtu siye, basi itakuwa umepasua mwenyeo au imejipasuwa wenyewe

Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?
Anataka kukudhulumu au una deni nyuma

Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
Kwasababu mapafu ndio yanayosababisha uvutaji wa pumzi, hiyvo mapafu hayasahau hata km umelala yanafanya kazi hiyo
mpaka yaa amrishwe kusita

Nataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?
anywe litre 1800000.

Na ujuzi wa hesabu yenye ukamilifu ipo kwa mungu
 
Suali hili halipo katika ujunzi wangu ni wake yeye mungu
Nadhani una nia njema kabisa ya kujifunza na kufunza wengine kwa huu uzi uliouanzisha,
Ili kufikia ufanisi wa lengo hili, nakushauri uwe unaweka mada maalumu ambayo maswali yanatakiwa yakijite humo, hapo ndipo utaweza kupata maswali mazuri na ambayo yanaweza kujibika kwa ufasaha..
 
Back
Top Bottom