Niunganishe na kazi ya mauzo ya kulipwa kwa commission

matheiavelini

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
10
Reaction score
15
Habari!

Naitwa Mathei, umri ni miaka 26 ni graduate wa Education &information and Communication technology ( ICT)katika level ya degree.

Biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza kuwasiiana.

Nina uzoefu kiasi wa kufanya mauzo :

offline ( nimefanya miezi 9) na
online tembelea kurasa zangu mitandao ya kijamii
@ DreamHomes-Tanzania.

hivyo basi nipo tayali kuhakikisha nakuletea wateje na kuweza kuuza bidhaa au huduma husika.

Kama unaweza kuniunganisha na kampuni au biashara binafsi itakuwa ni vyema Zaidi.

Mawasiiano yangu:
0757 334796 call/ SMS/ WhatsApp

Location ..Dar es salaam
 
Ninaweza kufanya kazi na wewe, kwa bahati mbaya hupatikani.

Tunaweza kufanya kazi, kwabahatimbaya hupatikan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…