Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

Ndugu mwanajf,
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size yangu chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please contact +255715050539
 
Back
Top Bottom