Mkuu me nipo dar,ila kilimo nafanyia morogoroUko wapi mkuu, moshi huwa kuna mhindi mmoja anakuuzia mbegu anakupa na guarantee, zisipoota atahusika, anasifika kwa kuuza mbegu poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu me nipo dar,ila kilimo nafanyia morogoroUko wapi mkuu, moshi huwa kuna mhindi mmoja anakuuzia mbegu anakupa na guarantee, zisipoota atahusika, anasifika kwa kuuza mbegu poa
Kwa dar, balton wanauza mbegu nzuri tu, hawababaishi tena bei ni poa kabsaMkuu me nipo dar,ila kilimo nafanyia morogoro
Huyo mhindi ndio anauza bei hiyo au?ukienda kariakoo kopo la gram 50 ni sh 6000 halafu chance ya kuota ni ishuUko wapi mkuu, moshi huwa kuna mhindi mmoja anakuuzia mbegu anakupa na guarantee, zisipoota atahusika, anasifika kwa kuuza mbegu poa
asante kwa taarifa mkuu me nilikua najua bei za balton ni kubwa sana, maana niliwahi kuuliza kuhusu greenhouse mpaka nikakata tamaa, unaweza kujua bei za balton kwenye hizo mbegu?Kwa dar, balton wanauza mbegu nzuri tu, hawababaishi tena bei ni poa kabsa
Kweli sijui, ila nimekuwa na uzoefu wa mda mrefu kuwa balton wanauza mbegu nzuri tu na bei ni poa kabsaasante kwa taarifa mkuu me nilikua najua bei za balton ni kubwa sana, maana niliwahi kuuliza kuhusu greenhouse mpaka nikakata tamaa, unaweza kujua bei za balton kwenye hizo mbegu?
Poa haina shida nitawacheki,kilo tatu za mbegu mkuu space yake ngapi kwa ngapi ukipanda shambani?Kweli sijui, ila nimekuwa na uzoefu wa mda mrefu kuwa balton wanauza mbegu nzuri tu na bei ni poa kabsa
Kama ilivyo ona kwenye hiyo picha yaani kumi hadi kumi na tano cmPoa haina shida nitawacheki,kilo tatu za mbegu mkuu space yake ngapi kwa ngapi ukipanda shambani?
sawa, ekari moja inaweza kutoa magunia mangapi, mkuu kwa bei hiyo ya 70,000 ukiuza faida inakuwa hakuna? maana naona kuna mtu hapa kasema mpaka mwezi wa pili bei itakuwa vizuri lakini naona mwezi wa pili singida huwa wanatoa vitunguu vingi halafu vina flood market then bei inapungua kabisaKama ilivyo ona kwenye hiyo picha yaani kumi hadi kumi na tano cm
Acha woga mkuu. Kila kitu kimejaa changamoto, there's no flat way toward success. Wewe ukiamua kulima na ulime. Procrastination results into regression. Ukianza kuchunguza sana haya mambo ya uchumi pamejaa visiki. Hata ungeuza kwa hiyo 70000 bado una faida, assume for minimum yields 60 bags per acre, milioni 4 na vilaki, lakini gharama ya kuhudumia haitafika hukosawa, ekari moja inaweza kutoa magunia mangapi, mkuu kwa bei hiyo ya 70,000 ukiuza faida inakuwa hakuna? maana naona kuna mtu hapa kasema mpaka mwezi wa pili bei itakuwa vizuri lakini naona mwezi wa pili singida huwa wanatoa vitunguu vingi halafu vina flood market then bei inapungua kabisa
nimekuelewa kabisa mkuu, kweli uoga ndio umasikini, mfano watu waliolima mahindi mwaka huu watakuwa wamepata hela ya kutosha sana,mahindi kila siku yanapanda bei si mchezoAcha woga mkuu. Kila kitu kimejaa changamoto, there's no flat way toward success. Wewe ukiamua kulima na ulime. Procrastination results into regression. Ukianza kuchunguza sana haya mambo ya uchumi pamejaa visiki. Hata ungeuza kwa hiyo 70000 bado una faida, assume for minimum yields 60 bags per acre, milioni 4 na vilaki, lakini gharama ya kuhudumia haitafika huko
Kama mkuu alivyosema mbegu nzuri Ni red bombay ambayo inatoa kitunguu chekundu. Lakini hizi mbegu kuna makampuni mengi yana tengeneza kwahiyo Ni vizuri kuwa makiniHuyo mhindi ndio anauza bei hiyo au?ukienda kariakoo kopo la gram 50 ni sh 6000 halafu chance ya kuota ni ishu
sasa mkuu, vitunguu ukitumia hiyo mbegu ya Bombay unaweza kuvihifadhi kwa muda gani baada ya kuvuna?Acha woga mkuu. Kila kitu kimejaa changamoto, there's no flat way toward success. Wewe ukiamua kulima na ulime. Procrastination results into regression. Ukianza kuchunguza sana haya mambo ya uchumi pamejaa visiki. Hata ungeuza kwa hiyo 70000 bado una faida, assume for minimum yields 60 bags per acre, milioni 4 na vilaki, lakini gharama ya kuhudumia haitafika huko
Mkuuu Mimi ni mkulima wa Vitunguu bt siku zote Huwa natumia mbegu za dukani Na Zinaota Na mpaka Sasa Nina Vitunguu viko shamba karibu ninavunaNa mpango wa kulima vitunguu mwakani lakini naziogopa sana mbegu za dukani kuna jamaa yangu alinunua halafu hazikuota kabisa nimeshuhudia mara,watu wanasema mbegu za kienyeji zipo vizuri zaidi na ni bei poa, me ni mzoefu sana wa kilimo cha mpunga ila nataka mwakani nilime tena mpunga na vitunguu, ila sina uzoefu na vitunguu, naomba nielimishe ndondoo mbili tatu hasa soko lake na uanikaji baada ya mavuno inakuwaje
Mbegu ingene nzuri ya dukan ni neptune f one ingawa ni ghali sana ila mavuno yake yako juu sana, kama umehudumia vizuri unaweza pata zaidi ya gunia 120 kwa eka moja.sasa mkuu, vitunguu ukitumia hiyo mbegu ya Bombay unaweza kuvihifadhi kwa muda gani baada ya kuvuna?
Heka Moja ni kilo Moja huwezi kupanda kilo 3Mkuu siyo kweli kwamba hazioti, yaani mimi nimetumia kilo tatu tu kwenye heka
![]()
Kwa uzoefu red bombay unaweza kuhifadhi si zaidi ya mwezi mmoja.sasa mkuu, vitunguu ukitumia hiyo mbegu ya Bombay unaweza kuvihifadhi kwa muda gani baada ya kuvuna?
Viko karibu sana mkuuu huo umbali sioHeka Moja ni kilo Moja huwezi kupanda kilo 3
Yes mbegu zote za dukan ni kilo moja kwa eka moja au mara nyingine hata hata kilo moja inabaki.Heka Moja ni kilo Moja huwezi kupanda kilo 3
Ndio mkuu huyu jamaa anaetumia kilo 3 kwa heka ana panda umbali gani kati ya mche Na mcheYes mbegu zote za dukan ni kilo moja kwa eka moja au mara nyingine hata hata kilo moja inabaki.
mkuu muda mzuri wa kuvuna kutokana na soko letu ni upi? na je wewe ulipanda mwezi wa ngapi?Mkuuu Mimi ni mkulima wa Vitunguu bt siku zote Huwa natumia mbegu za dukani Na Zinaota Na mpaka Sasa Nina Vitunguu viko shamba karibu ninavuna