niunganisheni na pis kali kutoka Eastern Tanzania

niunganisheni na pis kali kutoka Eastern Tanzania

Show Game

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
316
Reaction score
1,099
Hellow J F
Mimi ni mwenyeji wa Musoma hukoo ndani ndani

nimesoma sifa nyingi nzuri na nyingine hasi kutoka kwa mabinti wa Kaskazini mwa Tanzania, ila kwangu napenda changamoto

niunganisheni na binti mrembo yeyote awe M'mbulu, Iraq, Chagga & so.

awe mrefu kiasi, mweupe yani ile rangi yenyewe achana na hizi za kununua.

Napenda nipate mwanamke mwenye changamoto hasa za kiupambanaji.

Naipenda kaskazini, Naipenda Tanzania!
 
Back
Top Bottom