Fanikio Gidi
New Member
- Aug 14, 2022
- 3
- 0
Habarini ndugu zangu Mimi na kaka angu tunatengeneza furniture zote za ndani tupo Yombo Temeke tatizo ni kupta wateja naomba mniunganishe kwa wateja au MTU ambaye naweza ongea nae tukawa tunatengeneza yeye anauza tukaingia nae ubia nicheki kwa 0742962846 kwa mawasiliano zaidi.