Kama heading inavyosomeka, nahitaji kisimbuzi cha azam cha dishi, sio lazima kiwe complete na dishi kwani naweza nikaunga kwa kutumia dishi lolote nililo nalo.
Duu kumbe na huku pia ni kama mambo ya simu, sikujua hili mzee, kwa comment yako na ya mwana hapa juu anaeniambia nina moyo nikiri wazi nimeghairi na uzi closed.