Niuzie kisimbuzi cha Azam kwa bei ya Januari

Niuzie kisimbuzi cha Azam kwa bei ya Januari

loliondokwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,376
Reaction score
1,752
Kama heading inavyosomeka, nahitaji kisimbuzi cha azam cha dishi, sio lazima kiwe complete na dishi kwani naweza nikaunga kwa kutumia dishi lolote nililo nalo.

Zingatia: Kisiwe yale matolea ya zamani.
 
Hivi mpaka visimbuzi mnataka used? Subiri siku uende jela kwa kupatikana na Mali za wizi na kwenye wizi huo aliuwawa mtu, ndio utajuwa hujui.
 
Hivi mpaka visimbuzi mnataka used? Subiri siku uende jela kwa kupatikana na Mali za wizi na kwenye wizi huo aliuwawa mtu, ndio utajuwa hujui.
Duu kumbe na huku pia ni kama mambo ya simu, sikujua hili mzee, kwa comment yako na ya mwana hapa juu anaeniambia nina moyo nikiri wazi nimeghairi na uzi closed.
 
Back
Top Bottom