Nivae nguo za aina gani ili nipendeze kutokana na mwili wangu?

Nivae nguo za aina gani ili nipendeze kutokana na mwili wangu?

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
281
Reaction score
170
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
 
Jaribu huu mtoko...
dsc_0061-jpg.402214
 
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
Kama wanaume wamefikia hatua hii..
Basi ni wazi kuwa vidume halisi tumebaki wachache..

Mtoa maada nikuulize swali dogo.
Umetumia criteria gani kujiweka kwenye kundi la ma handsome??
 
Vijora bana
Si vile vyepesi akivaa mtu mwenye neema za allah unaona tu msambwanda unavyovurugika kwenye nguo.
By the way nimekumiss
Aisee kumbe ndio hivyo....

Nami pia nimekukumbuka sana....
 
Back
Top Bottom