Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Kioo hakidanganyi mkuuUnajuaje kama ww handsome? Isijekuwa unadanganywa na kioo tu!
Viroja ndio vinini?Vaa madela na vijora
Vijora banaViroja ndio vinini?
Kama wanaume wamefikia hatua hii..Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
Aisee kumbe ndio hivyo....Vijora bana
Si vile vyepesi akivaa mtu mwenye neema za allah unaona tu msambwanda unavyovurugika kwenye nguo.
By the way nimekumiss