Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi.

Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea simu za wateja wenye shida mbalimbali.

Kutokana na umahiri wangu wa lugha ya Kingereza na utundu wa kutumia Computer nikawashawishi maboss wangu wakanipromote kuwa team leader wa call center,then nikapelekwa mkoa kuwa Area Sales Representative

Siku moja nikiwa ofisini aliingia binti mrembo akasema anagombea umiss ngazi ya mkoa na anahitaji udhamini,
Nikamwambia ofisi kama ofisi haina hiyo bajeti .akaomba nimsaidie 50,000 anunue nguo za nashindano ngazi ya mkoa,
Nikampatia hicho kiasi,Mungu si athumani akapenya na akatakiwa kueipoti Dar kwa ajili ya kambi ya kitaifa ya Mamiss.
Sasa kimbelembele xhake akawahi kuja Dar wiki kabla,na hana ndugu wa karibu,akanipiga mzinga wa hela ya guest house.
Kipindi hicho mzee wangu amevakisha mwaka mmoja kustaafu ameshahama Oyterbay nyumba ya serikali amehamia Tabata kwenyenyumba yake binafsi,ile nyumba ya oysterbay alikuwa akiishi mdogo wangu wakati akisubiri ikabidhiwr serikalini.

Nikamwambia hela sina ila ntakupa segemu ya kuishi akasema sawa,weekend nikaja mjini mbio mbio,nikampeleka mtoto Chole Road nyumba ya serikali utulivu mkubwa ,nikamuonyesha chumba chake kikiwa na godoro tu,nikalala na dogo kwenye room nyingine,kesho yake akagoma kulala mwenyewe nikamchakata usiku kucha nikarudi kituo changu cha kazi,
Baadae alikuja kushinda umiss Tanzania na akarudi mkoani nilikokuwa nafanyia kazi na lile gari limeandikwa Miss Tanzani 20xx,akanigeuza dereva wake maana hakuwa akijua kuendesha gari.

Akaenda Driving school na kuhamia Dar mazima.Akafututa namba yangu nikimpigia anauliza wewe nani,umekosea namba,hadi sauti yangu akaisahau

Happy valentine
 
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi.

Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea simu za wateja wenye shida mbalimbali.

Kutokana na umahiri wangu wa lugha ya Kingereza na utundu wa kutumia Computer nikawashawishi maboss wangu wakanipromote kuwa team leader wa call center,then nikapelekwa mkoa kuwa area sales manager.

Huo mkoa nikapewa pick up Nissan Hardbody lenye chata la hiyo kampuni yetu(sitaitaja)

Akaenda Driving school na kuhamia Dar mazima.

shilingi 50000 ya nguo olinifanya niingie kwenye rekodi ya kumchakata miss Tanzania
Sasa umeileta hapa ya nini? Ulimtendea WEMA au ulimnunua?

Kuweni watu wazima bhana, siyo kila kitu cha kuleta hapa
 
Kama ni kweli bhasi umetwist story mkuu ila huyo mrembo hakuja hapo ofisini bahati mbaya. Alikuwa akifanya hapo kazi na kwa sababu wewe ulikuwa senior, ikawa rahisi kujimegea ila aposhinda umiss, ukawa sio level zake

Inshort huyo miss kasoma school moja na bro wangu na yoyote anaemjua, akipitia story atamfahamu
 
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi.

Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea simu za wateja wenye shida mbalimbali.

Kutokana na umahiri wangu wa lugha ya Kingereza na utundu wa kutumia Computer nikawashawishi maboss wangu wakanipromote kuwa team leader wa call center,then nikapelekwa mkoa kuwa area sales manager.

Huo mkoa nikapewa pick up Nissan Hardbody lenye chata la hiyo kampuni yetu(sitaitaja)

Siku moja nikiwa ofisini aliingia binti mrembo akasema anagombea umiss ngazi ya mkoa na anahitaji udhamini,
Nikamwambia ofisi kama ofisi haina hiyo bajeti .akaomba nimsaidie 50,000 anunue nguo za nashindano ngazi ya mkoa,
Nikampatia hicho kiasi,Mungu si athumani akapenya na akatakiwa kueipoti Dar kwa ajili ya kambi ya kitaifa ya Mamiss.
Sasa kimbelembele xhake akawahi kuja Dar wiki kabla,na hana ndugu wa karibu,akanipiga mzinga wa hela ya guest house.
Kipindi hicho mzee wangu amevakisha mwaka mmoja kustaafu ameshahama Oyterbay nyumba ya serikali amehamia Tabata kwenyenyumba yake binafsi,ile nyumba ya oysterbay alikuwa akiishi mdogo wangu wakati akisubiri ikabidhiwr serikalini.

Nikamwambia hela sina ila ntakupa segemu ya kuishi akasema sawa,weekend nikaja mjini mbio mbio,nikampeleka mtoto Chole Road nyumba ya serikali utulivu mkubwa ,nikamuonyesha chumba chake kikiwa na godoro tu,nikalala na dogo kwenye room nyingine,kesho yake akagoma kulala mwenyewe nikamchakata usiku kucha nikarudi kituo changu cha kazi,
Baadae alikuja kushinda umiss Tanzania na akarudi mkoani nilikokuwa nafanyia kazi na lile gari limeandikwa Miss Tanzani 20xx,akanigeuza dereva wake maana hakuwa akijua kuendesha gari.

Akaenda Driving school na kuhamia Dar mazima.Akafututa namba yangu nikimpigia anauliza wewe nani,umekosea namba,hadi sauti yangu akaisahau
Aaahaa shetani amepita leo valentine tunaenda kuto**a ayawe aya aya we yala ayawe aya ayawe yala
 
Kama ni kweli bhasi umetwist story mkuu ila huyo mrembo hakuja hapo ofisini bahari mbaya. Alikuwa akifanya hapo kazi na kwa sababu wewe ulikuwa senior, ikawa rahisi kujimegea ila aposhinda umiss, ukawa sio level zake

Inshort huyo miss kasoma school moja na bro wangu na yoyote anaemjua, akipitia story atamfahamu
Namjua sana tuuuu [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1636]
 
Back
Top Bottom