Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

Binafsi huwa napenda hata Kama Ni mshkaji anikubali Mie Kama mie na sio pesa ,cheo ama mali ivyo vitu kesho naweza nikaamka sinavyo
Binadamu sio watu wa zuri hata maofisin ni hivyo,kuna boss wa polisi baada ya kustaafu alipata sonona ,akakumbuka kuwa kumbe zile saluti alikuwa hapigiwi yeye bali cheo chake
 
Binadamu sio watu wa zuri hata maofisin ni hivyo,kuna boss wa polisi baada ya kustaafu alipata sonona ,akakumbuka kuwa kumbe zile saluti alikuwa hapigiwi yeye bali cheo chake
Nikuambie uelewe tu binadamu hatuna tofauti na wanyama. Yaani cheki wanyama wanavyoishi sie ndivyo tuko ivyo. Mfano dini imekuja kutuambia tusifanye Mambo ambayo Ni asili yetu ya kinyama. Umeshawahi ona wapi wanyama wanapendana wapi wanapeana chakula cheki kuku,mbwa,chui n.k
Jogoo anampatia mtetea chakula kwa hesabu Kali akiwa ameatamia ama anavyo vifaranga Hana time.

Sema mie huwa najitahidi kuishi kiasi kwamba kinachoweza kunipa kiburi kesho Kama sinacho watu wasipige makofi.


Binadamu tumezaliwa na tamaa ambayo dini hata ifanyeje haiwezi iondoa. Cheki wanahubiri tusiwe na tamaa na watawa wanakula vizuri mno ama mapadri huku Kuna watt wa mitaani wanaokota jalalani Mabaki wale.

Yaani upendo unapewa feki ili uwe mtumwa wao utoe sadaka na zaka. Sidhani Kama Mungu anahitaji pesa,dhahabu ama magari jamani. Kweli Mungu Ana njaa kiasi icho. Mungu yupo Ila mambo mengine yamewekwa Ilo watu wawe watumwa wa wengine. Mfano raia wa kawaida Ni watumwa wa politicians wao wanatumia jeshi kukulazimisha ufanye wanalotaka.

Tamaa ,hofu,ego aka kiburi, wivu, ubinafsi,uvivu,n.k huwezi uondoa kwa binadamu Ni sawa eti uondoe sumaku isivute chuma ama maji yapande mlima na sio kushuka. I declare this is nature. We can't be greed free yaani haiwezekani binadamu wote Ni wavivu sema kutokana na Mambo fulani inabidi tufanye kazi
 
nikamuonyesha chumba chake kikiwa na godoro tu,nikalala na dogo kwenye room nyingine,kesho yake akagoma kulala mwenyewe nikamchakata usiku kucha nikarudi kituo changu cha kazi,
akagoma kulala mwenyewe? how
 
Kama ni kweli bhasi umetwist story mkuu ila huyo mrembo hakuja hapo ofisini bahati mbaya. Alikuwa akifanya hapo kazi na kwa sababu wewe ulikuwa senior, ikawa rahisi kujimegea ila aposhinda umiss, ukawa sio level zake

Inshort huyo miss kasoma school moja na bro wangu na yoyote anaemjua, akipitia story atamfahamu
Ohoo, kimeumana😃
 
Back
Top Bottom