Ujue ke kuona fursa ndipo anapoishi hata kwa wanaume mbon hii IPO ivyo Kuna mtu anakuwa ama analazimisha urafiki kisa tu ameona fursa. Huu ndio ukweli wa maisha. Mbona huwa hatulalamiki miti ama mti kuota mahala penye mbolea Ila kwenye mchanga ,jangwani ama kwenye mawe mti hauoti. Hata ng'ombe tu anaenda penye nyasi nzuri ndefu na laini