Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc RRONDO
 
True interchange ingesaidia naona foleni itahamia baharini sasa
 
Shida yetu wabongo ni wabinafsi mno, hii miundombinu usiyoona faida zake ,watakaokuja kuziona ni wajukuu zetu , hata huko Ulaya na Marekani ile miund mbinu mnayoenda kushangaa imejengwa zaidi ya kane moja na ushee iliyopita,wale wenzetu hawakusema hawaoni faida ya kujenga madaraja kama yale ya Brooklyn au kujenga reli za chini ya ardhi n.k. Kama wewe huoni faida wengine watakuja kuiona hiyo faida tatizo letu sisi pamoja na viongozi wetu hatuna vision bali tunajiangalia wenyewe.
 
Huwa napenda sana 'technical analysis' kama hii yako Mkuu. Hakika umetiririka vizuri na nimekuelewa vyema huku nikiwa nimejifunza Vitu fulani fulani. Asante...!!!!
 
Asante kwa Uchambuzi wako mzuri Mkuu.
 
Asante Mkuu kwa Ushauri wako na wala Usijali kwani GENTAMYCINE najua sababu Kubwa ya Kuchukiwa ni kwa 'Baraka' za Kipekee nilizonazo ambazo Mwenyezi Mungu 'amenikarimu' nazo huku akiwa amewanyima Wao Watesi ( Critics ) wangu.
 
Kuna siku anaamka huna cha kupost ila unaokoteza tu.

Tafadhari bana.. utashusha heshima yako humu.
Heshima yangu hapa JamiiForums ingekuwa inashuka ningekuwa nafuatiliwa na Wengi 24/7 huku idadi ya 'Followers' wangu ikiongezeka? Tafadhali sijakulazimisha Unifuatilie halafu nilipojiunga hapa JamiiForums nilikuambia kuwa nataka Heshima kutoka Kwako au kwa Wengine?

Hivi ukishakuwa *Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kama GENTAMYCINE bado unahitaji Kulazimisha Heshima au 'automatically' tu Unaheshimika?


Kumbe nikiwadharau huwa sikosei sana.
 
Hatutarudia Tena kosa kumpa nchi mrwanda au mburundi tulijifunza kwa mwendazake wewe Kila siku unamsifia PAKA na unyarwanda wako halafu tukupe nchi never.
 
Daraj la Tanzanite limemeza ndoto za Kizazi kijacho kwa maaana kwamba BAHARI YA HINDI ingeweza kutambaaa kupitia Mto Msimbazi kupita Magomeni, Kigogo, Tabata, Vingunguti mpaka ikafika mpaka Pugu Mnadani.

Kupanua Mlango wa Mto Msimbazi ili kuruhusu Maji ya Bahari kutokea Surrender Bridge ingekuwa na gharama kubwa lkn ingekuwa na Faida mara mil.1 ukilinganisha na Tanzanite.

Na Jiji la Daaslam lingepata mvuto wa Kipekeee, Mafuriko ya Kila mwaka Pale Jangwani, Kigogo nk yangeisha, Shida ya Usafiri maeneo ya Tabata, Buguruni nk ingeisha maaana tungepiga Boti, Maeneo ya Utaliii yangeongezeka maaana ungeza Kuta Beach pale Vingunguti machinjioni nk.

Anyway bado tuko Dunia ya Tatu na akili zetu zinaona ya Dunia ya 1.
 
Kweli kabisa, daraja la Salender halitabaki. Lakini kabla halijabomoka hilo la Tanzanite litakuwa katika hali gani?
 
Tatizo ni kwamba hiyo asilimia 85 ya wenye akili timamu Tanzania inaweza ikawa ni 5 % ya Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…