Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adhabu nzuri kwao ni kuwaonyesha alipo rafiki yao kwa week nzima, usiwaue. Jumatatu unawapeleka wanamwona, mpaka siku saba zipite. Kisha waachie huru.Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako,niwape adhabu gani maana bado wapo hai..!!!!???
View attachment 2401277
NakaziaMafuta then kiberiti
Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
View attachment 2401277
Hahaaa kuna siku moja walitoboa dumu la mafuta lita tano yaan asubuhi tunaamka mafuta yameisha yote chini tukaanza msako tulipo wakamata walikua wamezilai tu tukawafunga na waya kwenye mkia ili wasikimbie wakipata faham....tulichukua bomba la sindano tukachemsha maji tukawa tunawapiga sindano za maji ya motooo maana walifanya uharibifu mkubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi ulisha wahi ona machozi ya panya sasa mm niliyaona [emoji41][emoji41][emoji41]
NI MASHABIKI WA YANGA K WANI?Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
View attachment 2401277