Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati nakua 90's Sumbawanga lilikuwa tusi...Mfano ukiambiwa wewe unatokea sumbawanga nini? Ina maana wewe ni mchawi.[SIKUIZ WATU WANATAMANI KUJENGA KWETU SWAX, NINAJIVUNIA SANA]
Isesa tafadhali.
Njoo Mpanda tutafutane
Heaven on Earth ni kweli unatoka swaxMimi hapa mwenyeji wa Jangwani lol
karibu Pito...Isesa tafadhali.
Hahahahaah.......kama kweli vile.Mimi hapa mwenyeji wa Jangwani lol
Hahahahaah.......kama kweli vile.
Hujambo shemeji...!
shemeji sijambo........
lini tutaenda mazwi
Mazwi ya chiluba au shule.
kote........
shemeji sijambo........
lini tutaenda mazwi
Mazwi ya chiluba au shule.
Mazwi ya chiluba au shule.
mkazi wa jangwani mtaa gani au near wap mwenzetu...