Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaah!! kijana13 huyu shemeji yangu anaishi jangwani jirani na Jangwani inn...
karibu pito...
haha ndio maana nakupendaga shemeji,,,,,
we sa hivi uko huko ama
jangwani inn then wapi?kwa nkoswe or?
Mimi hapa mwenyeji wa Jangwani lol
Mwenyeji wa jangwani pia, mitaa ya karibu la Gorofa summry mtaa wa fisi ndio nyumbani.
Isesa tafadhali.
Wakati nakua 90's Sumbawanga lilikuwa tusi...Mfano ukiambiwa wewe unatokea sumbawanga nini? Ina maana wewe ni mchawi.
Mazwi ya chiluba au shule.