niwakati gani mwanamke mjamzito akifikia haruhusiwi kufanya tendo la ndoa ?????

burger

Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
6
Reaction score
2
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili isilete madhara kwa mtoto ?? pls napmba msaada katika hili especial kwamama aliyetimiza miezi zaidi ya sita
 
Piga mashine hadi siku yatakapompata ila tartiiiiiibu ili mtoto asije akazaliwa na manundu kichwani.
 
ikiwa mama mjamzito hana tatizo la kiafya, endelea kupiga mzigo lakini kwa uangalifu mkubwa, sio style zote zaweza kutumika....
 
Si uwe unaenda kliniki na Mama Mjamzito huko ndiko ukaulize maswali hayo yote na daktari atakupatia majibu sahihi? Wewe unadhani waliomo humu Jukwaani wote wana akili timamu kweli? Hapa wengi wamejawa mizaha tu, na kimsing wengi wanajifanya Political Analysts bila hata ya kusomea, masuala ya Afya ni Mama mkwe kwao! Ona wengine tayari wameshakujibu eti ule 0713! Pumbaf.u sana hawa!
 
Inaruhusiwa kufanya tendo la Ndoa wakati wowote(Hata kama ana mimba ya mwezi mmoja au miezi tisa) wa ujauzito wake mpaka pale tu atakapoanza uchungu(Labour) au 'Chupa kupasuka'(Rupture of Membrane, PV Leakage).

Vinginevyo itakatazwa na Daktari tu kama ana tatizo la kiafya linaloweza kuathiri ujauzito wake kama atashiriki tendo la ndoa nk kama Cervical Incompetence, Threaten Abortion, STIs etc.
 
kwa elimu ya afya ninayopata clinic jamani tunaambiwa tufanyane weee mpaka chupa inapopasuka. otherwise labda mama awe na tatizo ila ukishaambiwa upo safi hakuna shida isipokua la kuzingatia ni zile style ambazo zinaweza kumdhuru mtoto mf kwa chache missionary man on top ni mbaya kulalia tumbo labda mwanamke ndo awe top.ubavu wa kugeukiana. nao ni mbaya atalibana sana tumbo doggie ambayo mama atalalia sana tumbo pia si nzuri.kwangu mm naona hizi ni baadh ambazo zinaweza kumdhuru mtoto tusubiri madoctor waje..
 
Unaruhusiwa mpaka cku ya mwisho kama mama ataweza,ila kuna styl hutakiwi kutumia,usije ukambinjua bure,umakini ni kwny styl Za mapenzi tu!
 
je! Kunakua na tofauti yeyote? Maana ikiwa miezi9 nahisi njia itakua imeongezeka tayari kwa kujifungua so!
 
si utafute mpango wa kando ya nini kumtesa mkeo akiwa mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…