Nakushauri ugoogle utapata tu ila kama unataka mtoto wa kiume kwa mwanamke anayeenda siku 28 mzunguko unatakiwa usex naye masaa kadhaa kabla ya siku ya 14 na siku 14 15 16 hapo utampata na kwakuwa yai hutoka katika ovari siku ya 14 na hivyo uchavushaji hufanyika ndani ya falopian tube mtoto wa kiume atapatika kwani mbegu za YY huogolea haraka.
Vile vile zingatia stile katika siku hizo na uwe umekula vizuri na haujafanya kama siku 2 hadi 3 ngono.
Mimi binafsi nilifanya hivyo kwa mke wangu na nina watoto 2 wa kiume kwa sasa.