TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
Naomben kuelekezwa jins yakupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzunguko wamama. Anaejua naombeni msaada please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomben kuelekezwa jins yakupata mtoto wakike au wakiume kulingana namzunguko wamama. Anaejua naombeni msaada please.
Mi nataka wa kiume jamani
Nakushauri ugoogle utapata tu ila kama unataka mtoto wa kiume kwa mwanamke anayeenda siku 28 mzunguko unatakiwa usex naye masaa kadhaa kabla ya siku ya 14 na siku 14 15 16 hapo utampata na kwakuwa yai hutoka katika ovari siku ya 14 na hivyo uchavushaji hufanyika ndani ya falopian tube mtoto wa kiume atapatika kwani mbegu za YY huogolea haraka.
Vile vile zingatia stile katika siku hizo na uwe umekula vizuri na haujafanya kama siku 2 hadi 3 ngono.
Mimi binafsi nilifanya hivyo kwa mke wangu na nina watoto 2 wa kiume kwa sasa.
ungeeleza mzunguko wako niwa siku ngapi ila ni vyema ukaangalia kwenye jf docta kuna jamaa kaeleza haya mambo kwa undani na ustadi mzur sana