Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Niwakumbushe tu , Deni la Serikali la Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP kiwango ambacho bado kinachukuliwa kuwa himilivu kimataifa endapo ukuaji wa uchumi utaendelea kuwa thabiti. Ukuwaji wa uchumi unaendana na utulivu wa kisiasa.
Hata hivyo, kukosekana kwa misaada na ufadhili kutoka kwa wadau wa maendeleo kunaweza kuongeza shinikizo kwa bajeti ya Serikali, kupunguza uwezo wa kufadhili miradi ya kijamii, na hatimaye kuongeza mzigo kwa Mwananchi wa kawaida kupitia kupungua kwa huduma muhimu, kodi mpya, au ongezeko la gharama za maisha.
Usimamizi thabiti wa deni na diplomasia ya kiuchumi vinabaki kuwa muhimu katika kulinda ustawi wa Taifa.