jamani kama account yako inasema "selection in progress" na ume apply mapema , wahi NACTE fasta ! Ina maana ulichaguliwa chuo kikakurudisha afu , unatakiwa uchague cozi ingine kati ya zile ulizochagua, wahi mapema kama upo dar empty slots zinahesabika ! Wahi sasa..hii nacte hawatakuambia !
Bro Beneli nimekusoma kaka mtu kama mimi nipo chuga sina ujanja inabidi niwasubirie tuu,nimewatumia e mail wakanijibu nisubirie watanijulisha sasa ndio msala kusubiria kila day,
Bro Beneli nimekusoma kaka mtu kama mimi nipo chuga sina ujanja inabidi niwasubirie tuu,nimewatumia e mail wakanijibu nisubirie watanijulisha sasa ndio msala kusubiria kila day,
Usitume email hawatakujibu,chakufanya like page yao ya facebook alafu toa malalamiko yako kwa inbox wanakujib mm nilihangaika na nilifanikiwa kwa njia hii
Usitume email hawatakujibu,chakufanya like page yao ya facebook alafu toa malalamiko yako kwa inbox wanakujib mm nilihangaika na nilifanikiwa kwa njia hii
mimi imenibidi niende ,ila wanachofanya wanawapigia simu vyuo vinakuwa na nafasi afu wanafanya kuwapachika watu walio kosa, vp chuo cha kwanza ulijaza chuo gani ?