Niwangapi? Wanasubiri 3rd selection fro NACTE tu meet hapa!

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
jamani mimi nimoja wapo ambao tunaye subiri 3rd selection from NACTE.jamani tuombeane wadau
 
jamani kama account yako inasema "selection in progress" na ume apply mapema , wahi NACTE fasta ! Ina maana ulichaguliwa chuo kikakurudisha afu , unatakiwa uchague cozi ingine kati ya zile ulizochagua, wahi mapema kama upo dar empty slots zinahesabika ! Wahi sasa..hii nacte hawatakuambia !
 
Bro Beneli nimekusoma kaka mtu kama mimi nipo chuga sina ujanja inabidi niwasubirie tuu,nimewatumia e mail wakanijibu nisubirie watanijulisha sasa ndio msala kusubiria kila day,
 
mimi imenibidi niende ,ila wanachofanya wanawapigia simu vyuo vinakuwa na nafasi afu wanafanya kuwapachika watu walio kosa, vp chuo cha kwanza ulijaza chuo gani ?
 
Usitume email hawatakujibu,chakufanya like page yao ya facebook alafu toa malalamiko yako kwa inbox wanakujib mm nilihangaika na nilifanikiwa kwa njia hii
 
madam zero, walikurekebishia hadi mwisho ukaona matokeo yako?
 
Usitume email hawatakujibu,chakufanya like page yao ya facebook alafu toa malalamiko yako kwa inbox wanakujib mm nilihangaika na nilifanikiwa kwa njia hii

Thanks for your care aand advaise,be blessed,vp nikimuagizia mtu awacheki kwenye ofisi zao??cos mm niko Arusha na nimebanwa na kazi mbaya siwezi kuja DAR,
 
mimi imenibidi niende ,ila wanachofanya wanawapigia simu vyuo vinakuwa na nafasi afu wanafanya kuwapachika watu walio kosa, vp chuo cha kwanza ulijaza chuo gani ?

vp uliingia ofisini kwao waka kutafutia chuo ukiwepo ukatoka na jibu??vp ofisi zao ziko pande zipi,helpe me bro,
 
Back
Top Bottom