Niwaombe radhi niliowabishia kwamba Chadema ni SACCOS ya Mbowe

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Niombe mpokee radhi yangu.

Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama.

Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya.

Sote tunaona Mbowe akisusa kabisa baada ya kupokonywa SACCOS yake na watu baki.
 
Tuvushe Mwamba.. Tuvushe Mwamba.........
 
Niombe mpokee radhi yangu.

Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama.

Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya.

Sote tunaona Mbowe akisusa kabisa baada ya kupokonywa SACCOS yake na watu baki.
Mwasibu ulitakiwa kusema "CHADEMA ilikuwa ni saccos ya Mbowe"

Lakini pia kilikuwa ni chama kinachohusishwa na siasa za kikabila! Ila kwa sasa imebakia kuwa ni historia. CHADEMA kwa sasa ni chama kinachobeba kwa sehemu kubwa maslahi ya Tanganyika, ambayo hayakuwahi kupiganiwa na mtu yeyote tangu alipofariki Mchungaji Christopher Mtikila.
 
Niombe mpokee radhi yangu.

Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama.

Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya.

Sote tunaona Mbowe akisusa kabisa baada ya kupokonywa SACCOS yake na watu baki.
ok.🐒
 
Hakuna chama cha siasa hapa nchini kimeanzishwa bila kuwa na mkono wa serIali

Hivyo ndivyo ilivyo hata kwenye haya makanisa ya kiroho/kitume. Kama hayana maslahi kwa hao waongoza serikali hayawezi kudumu
 
Back
Top Bottom