Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mwasibu ulitakiwa kusema "CHADEMA ilikuwa ni saccos ya Mbowe"Niombe mpokee radhi yangu.
Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama.
Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya.
Sote tunaona Mbowe akisusa kabisa baada ya kupokonywa SACCOS yake na watu baki.
ok.πNiombe mpokee radhi yangu.

Niombe mpokee radhi yangu.