Elections 2010 Niwaonavyo wagombea watatu wa urais


Wewekama rais ukipangiwa mambo ya kufanya na walio nje ya nchi yako, wewe ni *****. ushawishi unaotoa ni pumba tupu, njoo kwa mara nyingine.
 
Wewekama rais ukipangiwa mambo ya kufanya na walio nje ya nchi yako, wewe ni *****. ushawishi unaotoa ni pumba tupu, njoo kwa mara nyingine.
Naona umekuja na hasira za kukurupuka kama za dkt Slaa.
Hueleweki.Hebu fafanua nukta yako.
 
Sisi waislamu si watu wa kuchezewa kabisa katika kila hali.Kuanzia elimu,hekima mpaka kujitoa muhanga ikibidi.Tuna kanuni ya kupima ipi ni shari ndogo kati ya shari nyingi, pale inapokuwa hatuna mbadala kutokana na shari hizo.
Katika uchaguzi huu tumepima mengi.Kikwete katuudhi kwa mengi na ana mapungufu kama walivyo wengi wetu.Hata hivyo mbele ya dkt Slaa yeye ni nafuu.Huenda tukakata kura zetu kwa Lipumba na kumpa yeye Kikwete.
 
Dkt Slaa yuko taaban.Nasikia hajaweza kuyafikia maeneo mengi ya nchi huku siku za kampeni zikiwa zimebaki chache.Helkopta yake imemuangusha.
Kikwete na Lipumba wamekuwa na wakati mzuri hata kurudia baadhi ya maeneo waliyokwisha kuyapitia.
 
sikubaliana kabisa nawewe. Uwezo wa kuongoza si lazima uwe na kiwango cha juu sana kielimu. Kwa ujumla Tanzania inahitaji mabadliko. ni miaka 50 tangu tanzania ijitawale na wote walio ongoza nchi ni wasomi, mpaka sasa tuko wapi? na tuna kila kitu. Mafuta, Gas, Maji, Madini, Ardhi yenye rutuba, Je ninani anafaidika?. Skando kubwa zimeibuliwa na upinzani za ufisadi je ninani anaye faidika? Kikwete ambaye ni msomi unae mpigia debe ana madaraka ya kukemea na kutumia vyombo vya sheria alivyonavyo kuwaadhibu Mafisadi, zaidi tunasikia porojo Ina udhi!!!. Kura yako ni uwamuzi wako kama watanzania tunapenda mabadliko |hatuna haja ya kuogopa upinzani, ndio maana kunasheria ya vyama vingi, kwamba chama kinachoshindwa kutekeleza ahadi zake basi tuchague chama kingine tuone nao watatufikisha wapi katika kipindi cha miaka mitano.
 
Mimi pia nakubaliana na wewe.Ndio maana hata mimi najiona nina uwezo wa kuongoza.Elilmu yangu ya madrasa inanifanya nifaae sana baadhi ya maeneo ambayo wagombea wengi hawayamudu.
Pamoja na hivyo elimu ya dkt Slaa ni kikwazo katika utumishi wa nafasi ya uraisi.
 
Matokeo ya kuchagua mgombea uraisi ambaye ni mbumbumbu ndiyo haya!.Jamaa kaisha kabisa.
 
Hakuna hata mmoja anayefaa maana wote ni products za ccm-mafisadi. We are just desparate!
 

Mpeni Lipumba
 
:dance: mkuu post yako inashabihiana na tamko la kikundi cha wafuasi wa dini ya kiislamu waliolitoa hivi karibuni.
nina wasi wasi kama udini utaingia hadi jf hatutafika mbali kwa sababu sisi kama great thinkers tunatakiwa kutoa mfano wa fikra za kimantiki badala ya fikra za sokoni.

haiingi akilini kudai eti dr slaa hana elimu na wakati hiyo phd amepata darasani.
udini ni mbaya sana naulaani hapa jf. period.
 
Ami
Ayo ni mawazo yako na una uhuru nayo.
Ila kwa haraka haraka naona kama vile unasukumwa na udini katika kutoa maamuzi. Ni kigezo gani ulichotumia kuona elimu ya Dr Slaa ina mashaka na haifai kuendesha nchi? Kwa taarifa yako viongozi wengi unaowafahamu wamesoma Seminari za kanisa, na mpaka hivi sasa Seminari ndio zinaongoza kwa ubora wa waalimu, mazingira ya shule,na elimu kwa ujumla.
Achana na mambo ya kufikirika na kuweka udini mbele ni ushauri wa bure tu, Huwezi kuendelea kwa kukaa vibarazani na kunywa kahawa, jioni kupiga majungu na kusubiri misaada.
 

fact!!!!!!
 
 
post 318, thanks 12 !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani inaonekana we ndo una matatizo. kwani hauungwi mkono na unayosema. inawezekana we ni yule uliye badili jina baada ya kupigwa madongo na vichwa vilivyoko JF
 
post 318, thanks 12 !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani inaonekana we ndo una matatizo. kwani hauungwi mkono na unayosema. inawezekana we ni yule uliye badili jina baada ya kupigwa madongo na vichwa vilivyoko JF
Hapo hujaeleweka.Weka vyema wazo lako tuone iwapo una jipya kuhusiana na dkt Slaa.
 
OH!Another lunatic person!Milembe Hospital is there to help you,do not undermine the capacity of the hospital,you never know!,you might be healed!
 
:whistle: Mweshimiwa, nadhani wewe una ka-upungufu kidogo ka mawazo. Si Slaa asiye kuwa na elimu ya kutosha. Labda wewe ndo std 7 ya 2000. Jitahidi kuendelea kusoma zaidi ili uweze pevuka kimawazo. Huna strong evidence ya kusema hayo kwa kadamnasi hii.... Kawaulize wenzio kijiweni wakupe wasifu wa wote then come again.............:A S 103:
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…