PreGE2025 Niwaonye CCM, msitume UVCCM kwenye mikutano ya CHADEMA kupiga kelele za 'Oktoba Tunatiki'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.

NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.

Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu wao, Kuporwa Uchaguzi zao mara zote,

Msifanye Majaribio yoyote ya kipumbavu kwenye mikutano, MTASABABISHA VIFO !!.
 
Kuna Siku watu watauliwa, Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu wao, Kuporwa Uchaguzi zao mara zote, TUNA HASIRA, TUNA HASIRA KUU!!.

Msifanye Majaribio yoyote ya kipumbavu kwenye mikutano, MTASABABISHA VIFO !!.
Wauweni tuone
 
Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.

NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.

Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu wao, Kuporwa Uchaguzi zao mara zote,

Msifanye Majaribio yoyote ya kipumbavu kwenye mikutano, MTASABABISHA VIFO !!.
Bora umeliona hilo mapema ni hatari sana kiusalama.
IMG-20250608-WA0031.jpg
 
Bora umesema mapema, kila chama kifanye mikutano kivyao, hakuna kuingiliana ktk utaratibu.
Unaonekana mzuri ila sasa unaibisha jahazi.
Saikolojia ya Watanzania bado hamjaijua.
Si ajabu huyo anasema NORNOE ndio huyo huyo akasema Tunatik.
Hawa wa Tunatik ni wengi waliohai na simuda utaanza waona waliovalia T-shirt ya October tunatick mtaani kwako wengine wakitmba nazo sokoni.
Ukiona aliovaa shirt ya No reform No Election akitembea nayo mtaani niwazi utkuwa nashida ya macho.
No reform wapo Instagram, JF ila wanaopiga kura wapo mitaani wametulia
 
Una hoja, nitakujibu wakati mwingine.

Btw, No Reform, No Election. 📍
 
Back
Top Bottom