Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wauweni tuoneKuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Kuna Siku watu watauliwa, Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu wao, Kuporwa Uchaguzi zao mara zote, TUNA HASIRA, TUNA HASIRA KUU!!.
Msifanye Majaribio yoyote ya kipumbavu kwenye mikutano, MTASABABISHA VIFO !!.
Bora umeliona hilo mapema ni hatari sana kiusalama.Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu wao, Kuporwa Uchaguzi zao mara zote,
Msifanye Majaribio yoyote ya kipumbavu kwenye mikutano, MTASABABISHA VIFO !!.
Unaonekana mzuri ila sasa unaibisha jahazi.Bora umesema mapema, kila chama kifanye mikutano kivyao, hakuna kuingiliana ktk utaratibu.
Una hoja, nitakujibu wakati mwingine.Unaonekana mzuri ila sasa unaibisha jahazi.
Saikolojia ya Watanzania bado hamjaijua.
Si ajabu huyo anasema NORNOE ndio huyo huyo akasema Tunatik.
Hawa wa Tunatik ni wengi waliohai na simuda utaanza waona waliovalia T-shirt ya October tunatick mtaani kwako wengine wakitmba nazo sokoni.
Ukiona aliovaa shirt ya No reform No Election akitembea nayo mtaani niwazi utkuwa nashida ya macho.
No reform wapo Instagram, JF ila wanaopiga kura wapo mitaani wametulia
Lengo ni mikutano ya CDM ifungiweBoraa umesemaa mapemaa baadae wasianzee kuliliaa na kuona wameonewaa na kuanza kuleta sababu ili mikutano ya chademaa ifungiwee ....